Wewe ndo Kiranga sasa umenyoosha 🫡Mkuu,
Kwani hawezi kuwa mwenyekiti wa tume ya maridhiano ambayo inataka jambo la kwanza katika maridhiano liwe ni kujiuzulu kwa Samia?
Yani unaona maridhiano hayawezekani bila Samia kuwa rais?
Samia ajiuzuluSasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Hivi wewe kichwa na kiwiliwili chako vinasomana kweliSasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Hakukuwa na uchaguzi, hatuna rais. Waliojiweka madarakani wakipatikana halali yetu.Kabla ya yote lazima wakubali hakukuwa na uchaguzi hivyo viongozi wote waliochaguliwa ni batili.
Hakuna maridhiano kabla ya kubatilisha huu uchaguzi.
1. Yeye aubatilishe,
2. aivunje tume ya uchafuzi
3. Afute utumishi wa CDF,IGP,DIS, RPCs & RCs wote kulipotokea vurugu. 4.ajiuuzulu nafasi ya rais.
5. Mpango akaimu nafasi ya urais
6. Awaachie wote waliokamatwa kabla na maada ya maandamano na kurejesho wote waliopotea.
7. Tume ya uchunguzi iuendwe
8. Tume ya mashtaka na maridhiano.
9. Katiba mpya na sheria za uchaguzi zirekebishwe( hapa sio lazima wabunge wakae na kupitisha) tunaweza chagua wajumbe tukawapa hata cheo cha ubunge kupitisha hizo sheria.
10. Uchaguzi ufanyike upya. Mpango asiwe sehemu ya kugombea nafasi.
Wahuni wote, lazima wakutane na mkono wa sheria. Mardhiano sio kuwaacha tu.
Hapana Nakata Mpango kuwa sehemu ya serikali ya mpito, Mzee Warioba ndo awe rais wa mpito chini ya jeshiKabla ya yote lazima wakubali hakukuwa na uchaguzi hivyo viongozi wote waliochaguliwa ni batili.
Hakuna maridhiano kabla ya kubatilisha huu uchaguzi.
1. Yeye aubatilishe,
2. aivunje tume ya uchafuzi
3. Afute utumishi wa CDF,IGP,DIS, RPCs & RCs wote kulipotokea vurugu. 4.ajiuuzulu nafasi ya rais.
5. Mpango akaimu nafasi ya urais
6. Awaachie wote waliokamatwa kabla na maada ya maandamano na kurejesho wote waliopotea.
7. Tume ya uchunguzi iuendwe
8. Tume ya mashtaka na maridhiano.
9. Katiba mpya na sheria za uchaguzi zirekebishwe( hapa sio lazima wabunge wakae na kupitisha) tunaweza chagua wajumbe tukawapa hata cheo cha ubunge kupitisha hizo sheria.
10. Uchaguzi ufanyike upya. Mpango asiwe sehemu ya kugombea nafasi.
Wahuni wote, lazima wakutane na mkono wa sheria. Mardhiano sio kuwaacha tu.
Kwani wananchi wanaridhiana na nani?Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Hivi wewe mkuu kichwa chako na kiwiliwili chako vinasomana kweli ? Jibu then nakuja kukupa yale usiofahaamu katika ulimwengu wa roho,Mzee mpumbavu sana
Nchi inaendaje mbele bila wananchiSasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Nchi inaendaje mbele bila wananchiSasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele