Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.
Umeongea kitu kizito sana...unaweza kuwa unampigia mtu mahesabu kuwa mwaka huu hatoboi ukashangaa we ndo unasepa unamwacha!

Mi toka nione ishu ya lowasa sina hamu, Mungu mkali asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Account ya Machache anaitumia jaqline kupost huo utumbo #inavyosemekana lakini
 
Mwasu uko juu!

Hao mademu unavyowachambua[emoji119][emoji119][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muuza nafaka ni Nasreem?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile interview yake yote ni fix!

Halafu huwezi mdhania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…