Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Unawajuwa vizuri wazee wa Kichaga? Hasa msomi mkubwa kama Mengi?
Aaha sasa kwa mahaba yale mzee urithi atamuandikia nani????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kaka zake au?? Hakuna watu wanaweza kuwa na uchungu na mali zako kama Watoto zako kidogo napo na Mkeoo... Ndugu wote hakuna kituu watazitapanyaa tuu
 
this is kind of medication from my view,mengi alikua ameshaugua mda mrefu hii ni psychology confortable medication ,kumfanya aendelee kuishi wazungu wengi wanatumia sana hii,it is normal
 

waswahili bana, unajua sababu za kumuacha mke wa kwanza? kisha Mengi akaoa tena kama mara mbili before jack

mweusi atabaki kuwa mweusi

tafuta sababu za kumuacha ndio uje na ngonjela zako

pia mke wa kwanza wa mengi hajafa maskini
 
tayari deal limekamilika!?
 
Hii thread niliwaambia Mengi hayupo sawa,na inawezekana kafariki katika kutafuta ujana zaidi. Majuzi juzi kulikuwa na tweet inaongelea stem cells. Ambayo iliandikwa kwenye tweet ya Mengi. Im sure si Mengi aliyeiandika.
Nasikia bibie ndio alaikuwa anamwandikia,kote huko sijui tweeter, insta Jack ndio alikuwa anaaandika kwenye page ya hubby
RIP Mzee Mengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…