Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Unawajuwa vizuri wazee wa Kichaga? Hasa msomi mkubwa kama Mengi?
Aaha sasa kwa mahaba yale mzee urithi atamuandikia nani????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kaka zake au?? Hakuna watu wanaweza kuwa na uchungu na mali zako kama Watoto zako kidogo napo na Mkeoo... Ndugu wote hakuna kituu watazitapanyaa tuu
 
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.

Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.

Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.

View attachment 1060633
this is kind of medication from my view,mengi alikua ameshaugua mda mrefu hii ni psychology confortable medication ,kumfanya aendelee kuishi wazungu wengi wanatumia sana hii,it is normal
 
Kuna la kujifunza
Huyu mzee aliacha mke halali aliye hustle naye toka ujana wao, akaja mchukuwa kylin, mke wake akafariki miezi michache tu iliyopita sijui aliondoka na maumivu na uchungu wa aina gani leo mengi kamfata na jak kaachwa hapo.
Hapa kuna jambo kubwa ambalo tunapaswa kujifunza.

waswahili bana, unajua sababu za kumuacha mke wa kwanza? kisha Mengi akaoa tena kama mara mbili before jack

mweusi atabaki kuwa mweusi

tafuta sababu za kumuacha ndio uje na ngonjela zako

pia mke wa kwanza wa mengi hajafa maskini
 
Hii kali kabisa. Daaah kumbe aliachwa mataa? Ukweli ingekuwa ni ndugu yangu ningeenda tu nimshauri kuwa maisha yake yawe kwenye usiri tu maana anaweza kuamsha waliolala kwa sababu ona kwa mambo anayofanya kwa sasa mpaka hata mimi Zogwale nimejua nisichokuwa nimejua kuwa huyu mwanamke alikuwa ni kahaba wa casino na kuwa ni internationa prostitute. Aiseee mama wawili tulia kwa sababu sasa anachafuka mitandaoni.

Ila ninawaambia kuna senema anatengeneza huyu. Time will tell.
Huyu mzee had all his life in privacy, out of camera and now his life is so much exposed. Ndugu zake na watoto kama mna akili ya ziada ni vyema waliangalie hili kwa jicho la pili.
tayari deal limekamilika!?
 
Hii thread niliwaambia Mengi hayupo sawa,na inawezekana kafariki katika kutafuta ujana zaidi. Majuzi juzi kulikuwa na tweet inaongelea stem cells. Ambayo iliandikwa kwenye tweet ya Mengi. Im sure si Mengi aliyeiandika.
Nasikia bibie ndio alaikuwa anamwandikia,kote huko sijui tweeter, insta Jack ndio alikuwa anaaandika kwenye page ya hubby
RIP Mzee Mengi!
 
Back
Top Bottom