Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Lipi la kujifunza litakalo zuia umauti?
 
Duh aiseee misiba ya siku hizi yanazuka mengi sana.

#Pumzikakwaamanimzee
 
Anao wawili kwa mke wa Kwanza, walikuwa watatu mmoja alifariki na ndiye aliyekuwa akisimamia EATV
Shukrani mkuu.
Sasa tusubiri mshike mshike wa urithi
 
Unawajuwa vizuri wazee wa Kichaga? Hasa msomi mkubwa kama Mengi?
Unaambiwa mzee alikua amemuandikisha klyn kila kitu 50%. Ikafikia hatua hadi akataka kumuweka kwenye board of directors lkn watoto wake kina regina ndo wakaja juu na kufungua kesi mahakamani kwamba mzee wao anapelekeshwa kufanya maamuzi na klyn coz mzee ni mgonjwa so anashindwa kujisimamia

kuna maneno ya Mange yanaendelea instagram, sijui kama ni kweli, lkn kama ni kweli basi klyn alicheza bonge moja la movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…