Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Lipi la kujifunza litakalo zuia umauti?
Kuna la kujifunza
Huyu mzee aliacha mke halali aliye hustle naye toka ujana wao, akaja mchukuwa kylin, mke wake akafariki miezi michache tu iliyopita sijui aliondoka na maumivu na uchungu wa aina gani leo mengi kamfata na jak kaachwa hapo.
Hapa kuna jambo kubwa ambalo tunapaswa kujifunza.
 
Duh aiseee misiba ya siku hizi yanazuka mengi sana.

#Pumzikakwaamanimzee
 
Unawajuwa vizuri wazee wa Kichaga? Hasa msomi mkubwa kama Mengi?
Unaambiwa mzee alikua amemuandikisha klyn kila kitu 50%. Ikafikia hatua hadi akataka kumuweka kwenye board of directors lkn watoto wake kina regina ndo wakaja juu na kufungua kesi mahakamani kwamba mzee wao anapelekeshwa kufanya maamuzi na klyn coz mzee ni mgonjwa so anashindwa kujisimamia

kuna maneno ya Mange yanaendelea instagram, sijui kama ni kweli, lkn kama ni kweli basi klyn alicheza bonge moja la movie
 
Back
Top Bottom