Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Dakika za 90 mechi huwa fasta sana. Refa anakua makini mno,kocha anahakikisha wachezaji hawafanyi uzembe,golikipa anajipanga vyema,beki na viungo wanasimamia majukumu yao sawia huku mshambuliaji akiwa font front kuhakikisha timu inaibuka na shangwe.

Nimekuelewa mkuu, maandalizi ya watu ku takeover the belongings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dakika za 90 mechi huwa fasta sana. Refa anakua makini mno,kocha anahakikisha wachezaji hawafanyi uzembe,golikipa anajipanga vyema,beki na viungo wanasimamia majukumu yao sawia huku mshambuliaji akiwa font front kuhakikisha timu inaibuka na shangwe.

Hahahahaha tumekuelewa. Dada ndio anazidisha umakini sasa hivi [emoji15].
 
K lyni ameshagundua expire date ya mzee Mangi imekaribia hivyo anapalilia mirathi yake ili muone anastahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''Mbele ya mapenzi kiwete anapakatwa'' marehemu Dr Remmy,Mungu amlaze mahari pema.
 
Sijui watoto wake na ndugu zake wako wako wapi?

Nimejiuliza sana hili swali: Kwanini wanakubali kuona baba yao anakuwa kituko kwenye mitandao?

Heshima aliyojijengea yule Mzee inapotea ghafla. Sasa hivi amekuwa kama wakina Diamond Platnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…