Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hivi ana watoto wakubwa tofauti na ao wa k Lyn?
Siyo sukari tu pia kind of mild stroke ona tembea yake
Mapacha hujawaona kwa taarifa yako mzee mengi kafagia warembo wote mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui watoto wake na ndugu zake wako wako wapi?
Nimejiuliza sana hili swali: Kwanini wanakubali kuona baba yao anakuwa kituko kwenye mitandao?
Heshima aliyojijengea yule Mzee inapotea ghafla. Sasa hivi amekuwa kama wakina Diamond Platnumz
Nyie pondeni wee ila mkae mkijua K.Lynn ndio the next boss lady atakaekuja baada ya Zari. Hapo anachanga karata zake vizuri tu ili asije akamzingua boss kazi!
Nyie endeleeni kumuona chizi ila baada ya mazishi akianza kuwanyoosha instagram kwa kupost ma rolce royce watoto wa mjini lazma mtie akili!
Una uhakika? Mbona wenye sukari wanagonga kama kawa
Kwa kweli Mzee anajitoa ufahamu anapoelekea anajiaibisha
anajiaibisha kwa nani?
yeye anakula vinono, wewe endelea kutokwa povu na bi shosti wako ambaye unajihisi unampenda alafu humwambii, akija dar akakutana na mzee kama mengi alafu akapigwa busu, akapelekwa swimming pool, akapelekwa mliman city lazma ugongewe
Mzee anaonyeshaudhaifu sana ,ameshindwa kumtoa kylin kwenye kundi lake la makahaba na mashangingi na kumtuliza ndan,she had a low profile of her own mzee anamsafisha kwa pamba safiya familia very bad,Ishu ya kumuoa huyu tuli dought kama ataweza kwenda na standard za hii familia lakini kwa msaada wa mengi analiangusha sana jina la hii familia yenye kuficha mambo yao ,mutie alikuwa malaya mbwa lakini alijuakuweka madhaifu binafsi mbali na familia kwanza roumors has it kinje kala sana huyu mama na walikuwa na tabia ya kupokezana usikute hata mutie kala hii sasa kuficha yote haya angejikalia kimya watu watamfukua hadi mzee apoteze hapititeKylin Amefanya hii familia ianze kuongewa wenyewe wapo very private
Kwanini unateseka?Ujinga mtupu,nashangaa hata wanaoshabikia!
Hivi km ndo baba ako unajiskiaje?
Ukivaa viatu vya watt wake kwakweli unajisikia vby!
Yaani pesa tu ikufanye uishiba mtu umri kamzidi baba yako? Aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Vicky embu tafasiri maneno ya mwisho hapo...umetuachaaTatizo Jack anataka yaani aonekane mambo safi kwa watu wa nje. Ila ki ukweli c'est l'enfer.
Mengi pesa anayo wewe.. Hana haja ya kuonesha...!! They are living happy life na familia yao to the Fullest....Tatizo Jack anataka yaani aonekane mambo safi kwa watu wa nje. Ila ki ukweli c'est l'enfer.
Ni wivuu...ni wivu tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]