Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Yaani inaboa sana!
Wapi sn ,ila ningekua mi nisingekubali huu ujinga
Sijui watoto wake na ndugu zake wako wako wapi?

Nimejiuliza sana hili swali: Kwanini wanakubali kuona baba yao anakuwa kituko kwenye mitandao?

Heshima aliyojijengea yule Mzee inapotea ghafla. Sasa hivi amekuwa kama wakina Diamond Platnumz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,hizo za kuzikuta kachuma mwingine halafu uje ule kirahisi tu!?zina jasho LA mtu hizo!wenye baba na mama yao waliozichuma pamoja wapo wanaangalia tu!
Tupo hapa ngoja tuweke akiba ya maneno!
Nyie pondeni wee ila mkae mkijua K.Lynn ndio the next boss lady atakaekuja baada ya Zari. Hapo anachanga karata zake vizuri tu ili asije akamzingua boss kazi!

Nyie endeleeni kumuona chizi ila baada ya mazishi akianza kuwanyoosha instagram kwa kupost ma rolce royce watoto wa mjini lazma mtie akili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli Mzee anajitoa ufahamu anapoelekea anajiaibisha
anajiaibisha kwa nani?
yeye anakula vinono, wewe endelea kutokwa povu na bi shosti wako ambaye unajihisi unampenda alafu humwambii, akija dar akakutana na mzee kama mengi alafu akapigwa busu, akapelekwa swimming pool, akapelekwa mliman city lazma ugongewe
 
Kylin Amefanya hii familia ianze kuongewa wenyewe wapo very private
Mzee anaonyeshaudhaifu sana ,ameshindwa kumtoa kylin kwenye kundi lake la makahaba na mashangingi na kumtuliza ndan,she had a low profile of her own mzee anamsafisha kwa pamba safiya familia very bad,Ishu ya kumuoa huyu tuli dought kama ataweza kwenda na standard za hii familia lakini kwa msaada wa mengi analiangusha sana jina la hii familia yenye kuficha mambo yao ,mutie alikuwa malaya mbwa lakini alijuakuweka madhaifu binafsi mbali na familia kwanza roumors has it kinje kala sana huyu mama na walikuwa na tabia ya kupokezana usikute hata mutie kala hii sasa kuficha yote haya angejikalia kimya watu watamfukua hadi mzee apoteze hapitite
 
Kwani nyie mbona mnazingua???? Huyu mzee amekosa nini hasa??? Si mke wake yulee mbona mnampangia mzee aishi vipii akati pesa anayoo...[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo bhnaa tafuteni helaa acheni kelele humuu...pambafuu kabisaa etii ooho anajiabisha kwani wanagongana hadharani???? shwain...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom