Low Battery
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 210
- 124
Hapo usikute kuna msela 2 alipigwa chini ili mzee mengi akaePesa sabuni ya roho
Hivi huwa mnapata Faida gani kufuatilia life la watu???? Kwa a tabia yako ndoa utaionea kwenye chereko TBC TVMkuu age gap kwanza ni kubwa mno, hao Ryan na Jayden wangeweza kuwa wajukuu wa Regina
Siri ya mtungi aikuaye kataKama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Kwa sababu ya umaskini wako akili zako zimefika mwisho.Kwa akili yako huwezi kuona tatizo!
aisee we dada/mama una akili sana Mungu akubariki.Sio wabahili, ndio wanaanza kutafuta, sasa kama wataanza kununua iPhone wakati yeye anaishi kwenye chumba mtafika kweli. Ni kumkubali mtu kwa hali yake.
wanawake dizaini hiyo ndio wanaopelekea mfumo-dume kutoisha maana nikishagundua tu kua mwanamke kwangu yuko after money itakua ni mwendo wa kumtumikisha tu (sex slave) no more love.
mara nyingi inakua hivyo ila nashindwa kuelewa issue ya emmanuel makron (rais wa france).Mbona wapo, lakini kukiwa na age difference kubwa hama hiyo lazima kuna kuwa na interest of benefits. Joan Collins mtunzi wa vitabu aliolewa na mwanume 20yrs younger than her.
Pale ametuacha midomo wazi lakini mama anapesa yulemara nyingi inakua hivyo ila nashindwa kuelewa issue ya emmanuel makron (rais wa france).
Na Mimi nilikuwa napasubir hapo tuuuHivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
Amatus ndiye nanKuungua sio issue siku hizi,Amatus mpaka jela alikwenda ila alistahimili na kama na kama stuation yake ya kipesa ingekuwa kama alivyokuwa kwente twin tower mpaka leo angekuwa anakula life tu
Na Kuna habari zilivuma kuwa Mzee wa Monduli alijinyeaHivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?