Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Wakubwa wanafaidi halafu wadogo tunatamani. Haya maisha jamani ngoja na sisi tusubiri ukubwani tutafaidi tu.
 
Mkuu age gap kwanza ni kubwa mno, hao Ryan na Jayden wangeweza kuwa wajukuu wa Regina
Hivi huwa mnapata Faida gani kufuatilia life la watu???? Kwa a tabia yako ndoa utaionea kwenye chereko TBC TV
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Pesa mambo yote..


Tatizo lisiloweza kusuluhishwa na Pesa basi hutatuliwa na Mapesa Mengi...
 
Ukisoma huu uzi pana kauli nyingi za kujifariji na kubeza cha msingi vijana chondechonde tutafute pesa kauli hizi hazitusaidii chochote nasema tena chochote tutaishia kuponda tu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mbona wapo, lakini kukiwa na age difference kubwa hama hiyo lazima kuna kuwa na interest of benefits. Joan Collins mtunzi wa vitabu aliolewa na mwanume 20yrs younger than her.
mara nyingi inakua hivyo ila nashindwa kuelewa issue ya emmanuel makron (rais wa france).
 
Back
Top Bottom