Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Jacqueline Ntuyabaliwe or otherwise
known as Klyinn was born on 6
December 1978"
source: Wikipedia

kama ni kweli sidhani kama kuna utoto hapo
Miaka 38 kwa miaka 60 na kitu ni mtoto,anazidiwa zaidi ya miaka 20,utajisikiaje pale utakapomkuta mwanao mwenye umri wa miaka 20 akiwa anamdate mbaba wa miaka 45?tena awe broke?
 
Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.

...

Mkubwa unaonaje kama nawewe ungetupiamo tupicha ukiwa unakula bata na ze familia yako ili kusadifu maneno yako?
 
Kuna Demu Mmoja Nilitomtongoza Wakati Nasoma Form Five Lindi Sekondari Kule Lindi!Yule Binti Aliniangalia Machoni Halafu Akanijibu "Wewe ni Handsome na Una Mvuto Hila Huna Hela,Tafuta Kwanza Hela"
Yule Dada Alitoka na Kwenda Kuliwa na Bwege Mmoja wa Form Six Ambae Sura Yake ni Kama Wasira Kasoro Alikuwa na Pochi Nene!Huyo Jamaa Alikuwa na Kadi ya CRDB Kipindi Hiko Mie Mlango wa Benki Siujuhi Una Sura Gani!
Hiyo Ilikuwa 2008,na Tangia Hapo Nikaanza Kusoma Kwa Hasira Hili Nipate Pesa!
Mpaka Leo Namshukuru Yule Kwa Kunifungua Macho!
 
Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
umeanza wewe ,habari za vitambi zikija hapa unapayuka mpaka mtaa watatu wanakusikia saivi umehamia six pack..!!kwahiyo huwa mnataka nini kati ya pesa na dushelele a.k.a mapenzi
 
Aumbile Nungu cha kumemena.........!!!!!!!!!!!!
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Inaonyesha wewe hujui maisha. Kijana gani anaweza hizo miziki ya Jackline? Life starts at 40 my friend.
 
kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Sio kushangilia Mkuu,huyu mzee kaweka bayana kila kitu kuhusu K-lyin , jiulize wapo wazee wangapi wanakula hawa wadogo zetu kimya kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…