Hivi ingekuwa jimama kajichukulia kijana wangeshangilia pia????
Mambo ya mjini si yawezi mimi mshamba kiaina. Wadada wa mjini wanajua kuact na mimi kuact siwezi, sina Vaseline nitapaka mafuta ya Nazi.
Usilolijua litakusumbua.....Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
inaelekea kakufanya kuwe kubichi kama kijana hahahahaaaaaaaaaaaaaaaHivi wakati Mzee akimvua nguo akabakia mtupu wa nyama hako kabinti kanaweza kuukodolea macho 'mtulinga' wa huyo babu? Sipati picha!
Hebu nenda kampe mzee Hilo tundu la huruma uone atakavyokupa orgasmHivi huyu dada anafikishwa kileleni na hicho kibabu? Au kuna kaserengeti boyz kanamsaidia babu?
Mama yao kina Mutie a.k.a Rodney....yupoHivi mama Mengi original yupo wapi?
Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
hata akiungua mbele ya pesa unadhani watu wanaona hilo basi tu wanafanya machukizo mbele za MunguHivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Mashetani kama nyie huwa hamkosi...acheni chuki kwenye mafanikio ya watu...Hivi mama Mengi original yupo wapi?
Kwenye kuoa na kuolewa hakuna cha umri na ubinti wa msichana ukoje wakati Mungu amekuumba ukisha vyunja hungo unakuwa tayari kuzaa.hata akiungua mbele ya pesa unadhani watu wanaona hilo basi tu wanafanya machukizo mbele za Mungu
sasa huyo binti si kama mwanae jamani mweeee mtoto wake anamwitaje huyo binti mama mdogo au /??????????????
Hata Angekuchukua wewe pia tungeshangilia...tena wewe ungetoa mzigo bila hata kuombwa..dadaadek.kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Naskia yule mke mkubwa alikua anachepuka ndo chanzo cha meng kumuachaKama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Asiache kung'aa akimaliza kazi tu anafikiria kurudi nyumbani!!!Mzee makunyanzi yameisha.Anang'aa kama kijana.Am happy for him!
HahahaaaaaSasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs