Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Wanaongea wengi ila boss ni pesa.

Kila mtu anafanya limfaalo yeye habari za kufurahisha watu zimepitwa na wakati. ..uwe na hela alafu zikuletee stress Why?

Kula raha.
 
huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Kama wasemavyo watu pori
 
Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku ...
Ndugu yangu tafuta vya kwako nawe utumbue na familia yako. Tuachane na mambo ya watu. Ningekupa tano kama ungetupa mwongozo wa jinsi ya kufikia hapo na si kusifia au kukashifu hivyo.
 
Hivo vipacha havimkuti huyo mzee
Mzee ana 72,vipacha vina miaka 3 mpaka vikifikisha 10 babu atakua anaanikwa juani
 
Ingekuwa ulaya msinge ropoka hovyo hovyo namna hii Kylin ni mzuri sana na mzee Mengi hajakosea kutia mimba.
 
Sasa kijana wa kiume akichukua bibi yake huwa kosa kubwa sana
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Vizee vina chukua mademu zetu
 
Back
Top Bottom