Mzee Mkapa awasilisha salamu za Rais Magufuli kumuaga Mzee Moi, asema alikuwa 'mentor' wake

Mzee Mkapa awasilisha salamu za Rais Magufuli kumuaga Mzee Moi, asema alikuwa 'mentor' wake

Mkapa kaamua kumfichia aibu mtu .... Kale kajengo Kigamboni na huu msiba ipi ilikuwa ni shughuli ya maana?? Bora angewatuma Kigamboni yeye akawakilisha nchi ..............!!
 
Safi umezungumza vyema ,ila moi alianza kuwa katili Sana baada ya jaribio la kumpindua kufeli mwaka 1982
Tena muuaji mkubwa Dr ouko alikuwa waziri wa mambo ya nnje aliuawa na utawala wa huyo hayati Daniel torotichi arabu moi enzi hizo alikuwa mtangazaji mmoja KBC swahili Leonard mambo mbotela hataree sana jamaa alikuwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili, wao wameenda kama viongozi wa zamani, anaye weza kumtuma kwa mamlaka yake kama kiongozi wa Taifa ni makamu wake au Waziri mkuu, labda Mzee Mkapa kwa kutoa aibu ndiyo maana ameamua kukisemea kwamba wametumwa, vinginevyo labda angekuwa mgonjwa.
Ukweli ambao hawatakubali kuupokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom