watu kama sumaye sijui motive yake ni nini. kama ni madaraka ya juu kabisa alikuwa nayo kwa miaka 10 akiwa msaididzi namba moja wa mkapa. kuhamia ukawa sijui anafikiri atapata nafasi gani ya juu zaidi ya kuwatumikia wananchi zaidi ya aaliyokuwa miaka ile 10
mwenzake anajulikana. motive ni kupiga zaidi hela na kulipa visasi
Stupid gang of devils
This time we will know the truth about the the death of the father of our nation. Wait the game is begining!! ICC /hague
Mithali.18:18/Hagai. 2:21-22Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi.
Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha kijembe kwa wapinzani na kusema wanaosema wanatafuta ukombozi ni wapumbavu na malofa.
Kuna vyama vinajifanya vinataka kuleta ukombozi, ukombozi uliletwa na ASP na Tanu, hao wanaojiita vyama vya ukombozi ni wapumbavu, ni malofa, nchi hii ilikwisha kombolewa na sasa inaendelea kuiomboa kwa kupambana ana umasikini, ujinga na maradhi na ndo kazi imekuwa ikifanywa na serikali zote zilizopita kuanzia ile ya awamu ya kwanza na hii inayokuja itafanywa na serikali ya Dk. Magufuli, alisema.
Mzee niliyemzoea kwa hoja zenye mashiko na takwimu akageuka mlevi asiyejiheshimu.
Kweli ufalme wa CCM umefitinika.Kati ya mambo ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakiitofautisha brand ya CCM na Upinzani ni kule kutumia lugha zenye staha,kuhubiri amani na kuiishi.Jana rasmi CCM imevunja ndoa yake na sifa hizi.
Sasa tunaanza kupata picha tukimtazama Makonda, baadae Nape,Wasira,Kamani,Job Ndugai na sasa Mkapa tunaona CCM mpya inayozaliwa; brand ya ngumi,matusi na lugha za mihemko.
Mimi niwaambie tu,busara na hekima ni tunu ila ujinga hafundishwi mtu.Ni suala la kuamua tu!
Magufuli karibu UKAWA,you are a good manager but not a leader.
BURIANI CCM!
Wanaodanganya watanzania kuwakomboa wakati tulishakombolewa na CCMWewe unafikiri aliowaita wapumbavu na malofa ni nani?
Heeeee, Heeee ni tuna masikitiko makubwa kwa kauli ya MATUSI aliyotoa Mh. Rais mstaafu Ben Mkapa jana katika uzinduzi wa kampeni kwa chama tawala (CCM). Alisema wapinzani ni WAPUMBAVU na akarudia ni WAPUMBAVU SANA.
Sasa kwa masharti yaliyotolewa na tume ya uchaguzi ya kutotoa kauli za kuudhi wala kashfa huyu naye mbona alikiuka?
Mzee Mkapa iga mfano kwa Rais mstaafu mwenzio Mzee Mwinyi alivyotoa hotuba ya busara.
Kwa wadhifa wako hukupaswa kutukana kabisa, kwa hapo Mh umekididimiza chama.
Sasa sisi wananchi ni jukumu letu tarehe 25 Octoba,2015 kuondokana na watu wa chama kile kile miaka yoooote toka uhuru ambao hawana lugha nzuri kwa kizazi kijacho.
Jamaaaaaaniii eeeee akili kumkichwa, Oct, 25
Malofa na wapumbavu hawaishiwi na vituko.
Kituko cha mwaka, yule mliyemuita fisadi leo yuko juu kwenye chama cha wapumbavu kuliko Katibu Mkuu wake.
Hivi Katibu mkuu wa malofa kaishia wapi?
Malofa na wapumbavu hawaishiwi na vituko.
Kituko cha mwaka, yule mliyemuita fisadi leo yuko juu kwenye chama cha wapumbavu kuliko Katibu Mkuu wake.
Hivi Katibu mkuu wa malofa kaishia wapi?
Enyi wapumbavu na Malofa, jiandaeni kuhama nchi baada ya uchaguzi, vinginevyo, jela
Hakika naiona Tanzania mpya baada ya uchaguzi wa Oktoba. Tanzania ijayo itakuwa mahala pabaya sana kuishi kwa wapumbavu na malofa.
1. Kutakuwa na jela maalum kwa malofa na wapumbavu ambao siku zote wamekuwa wakituibia Watanzania. Mafisadi, majizi na mahujumu uchumi.
2. Tanzania ijayo itaweka usawa baina ya wananchi. Hiyo itawanyima fursa mafisadi ambao wamekuwa wakitumia umaskini wetu kujitajirisha.
3. Tanzania ijayo itakuwa ya viwanda. Wananchi wengi watakuwa busy na kazi hivyo itakuwa ngumu kwa wapumbavu na malofa kuwatumia Watanzania kama chambo kwenye maandamano.
4. Elimu itakuwa bure kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Yale mafisadi yaliyotuibia yakajenga mashule yao yakawa yanatoza ada kubwa sasa hali itakuwa mbaya. Heshima ya shule za serikali itarudi tena.
5. Enyi mafisadi, katika Tanzania ijayo, ili chama kiwe cha siasa lazima kiwe na sura ya kitaifa. Chama ambacho viongozi wake wakuu wanatoka kanda moja tu hakitapata nafasi ya kugombea
6. Enyi wauza unga, Tanzania ijayo viwanja vya ndege na bandari vitakuwa havipitiki. Biashara yenu itaingia kirusi na hivyo hakutakuwa na fedha za kufadhili mafisadi kwenda Ikulu.
7. Enyi malofa na wapumbavu, CCM kimezaliwa upya baada ya malofa, wapumbavu na wachawi kuhama chama. Waliobaki tunaserebuka na kucheza.
8. Enyi mafisadi na malofa, mmekuwa mkihujumu sana hospitali za serikali kwa kujenga mafoka kando ya hospitali hizo. Mmekuwa mkihamisha dawa za serikali na kuuza kwenye maduka binafsi. Tanzania ijayo hakutakuwa na mwanya huo. Heshima ya hospitali za serikali itarudi tena.
Unaposema hakutaja chama, hao wanaotaka kuwakomboa watanzania wako vyama gani? If a = b and b = c, then a = c.Wanaodanganya watanzania kuwakomboa wakati tulishakombolewa na CCM