Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa


Your right 100% keep on Brother
 

You re right comrade! Get my big like!
 
Ccm imezaliwa upya.magufuli ni wetu rais wa kitaifa.take care na list hii,sumaye,mbatia,mbowe,lowasa.je unaona nini hapo?mi naona ni mtandao wa ukikanda.iweje safu yote ni kutoka arusha...kaskazini? Ukawa imejichinja yenyewe
 
Hatuwezi.niliwaona tena ukawa haina demokrasia,ni ubabe tu.mwenyepesa wakati wowote huingia na kuchukua cheo akitakacho bila kupitia vikao husika.mbowe ametuulia demokrasia yetu
 
Mtu anagharimia tu mkutano na waandishi wa habari basi toka hapo ni mtu wa ngazi ya kuu,bila kutuma maombi wala kujadiliwa na vikao husika.loo leo hivyo je mkishika huo urais,si mtakuwa madictata ninyi?
 
Naomba TFDA wazuie matumizi ya viroba katika kipindi hiki mpaka tarehe 26 October ama sivyo tutasikia lugha nyingi za ajabu fanyeni hima.
 
ila mkapa amejidharaulisha kirahisi sana thamani yake imepotea
 
Hamkosi maneno,magufuli jana kaumaliza upinzani na sera zake tumezikubali,ni za kitaifa.mangula mbena,kikwete bagamoyo,nape lindi,mzee wasira musoma,kinana arusha.magufuli geita,amina sulum znbar.hii imekaa kitaifa.sasa tazama hii,lowasa arusha,mbowe moshi,sumaye arusha,mbatia moshi,mzee mtei moshi,mzee wa helukopta moshii,jee niendelee? Hiyo sio taifa ni kanda.niendelee?
 
Katika kumjibu huyu bwabwa Big Ben, wanaukawa wasisahau haya maneno :

JK alisema vijana wote wapenda mageuzi eti ni walevi wa viroba... lakini naomba Dunia ielewe kwamba kama kuna walevi wa viroba Tanzania basi mlevi wa viroba namba moja ni Benjamin Mkapa. Tena huyu amekubuhu...
 
Mzee wa kimakua. Mkapa ndio maana anakuwa na speech iliyoandaliwa. Mdomowake hauna sunna matusi ni kawaida sana kwake. Ila jana kakosea. Hawa wazee wanatakiwa wapumzike. JK has to deal with his mess na mahawara zake alowajaza mikoani na wilayani.
 
Maadili ya kipindi cha kambeni yalijadiliwa sana yalikuwa kwenye makongamano na tume iliyaanisha sasa yalihusu uchaguzi wa Burundi au Tanzania maana sijasikia kalipio lolote lilotolewa na tume ya uchaguzi kuhusu lugha ilitumiwa na mtu tuliyemuheshimu kama mzee Mkapa.Tunasubiri majibu yenu.
 
Ukawa mna kila sababu za kuitwa wapumbavu, u deserve it. Mna sifa za kuwa wapumbavu.
Mpumbavu ni mtu ambaye hafundishiki, haelewi, na wala hafikirii, yye huamini kile akijuacho tu.
Kuamini kuwa mtaitoa ccm madarakaki ili kuleta mabadiliko, ilihali mkiwatumia makada hao hao wa Ccm, huo ni upumbavu.
Kumpa huyo papa nafasi ya kugombea urais akiwa na wiki 1 ndan ya chama, upumbavu huo.
kumwacha Slaa kisa huyo papa, msaliti, tapeli, mwizi, mzandiki, upumbavu huo.
Najua hoja zangu ztapingwa kwa matusi, kwa 7bu nyie ni mapumbavu.
Hebu sasa tuuone upumbavu wenu hapa kupitia matusi.👍☝👍👍👍👍
 
Salaam.

Kampeni za uchaguzi zimefunguliwa na sasa Kumekucha Tanzania!

Nipende kuwapongeza wanaCCM kwa kufungua rasmi kampeni yao hapo jana (23.08.2015) lakini kwa namna mpya ya kejeli, vijembe, matusi(vilivyokataliwa na tume) kutawala ufunguzi huo. Nilishtushwa na kauli za viongozi wa CCM kama vile Mh. Benjamin W. Mkapa kutukana hadharani. Mengi yamesemwa ikiwa ni pamoja na kusema "upumbavu na ulofa" si tusi. Nabaki najiuliza hata kama si tusi hakuna maneno makali ya kutumia tofauti na hayo, hasa kwa Rais mstaafu? Nakumbuka Mh. Tundu Lissu aliwahi kutamka maneno hayo Bungeni(haikuwa hekima), kwa kuwa alikosea basi ndiyo inahalalisha matumizi yake? leo inaonekana kama mtindo!

Wazungu wanasema 'Great minds discuss ideas, average minds discuss events and small minds discuss people" Nilitegemea kwa kikosi kile pengine kutoa maneno ya busara na kutofanya kuwa kijiwe cha chuki kwa waliokatwa.(wakiwakejeli wakiokatwa, na baadhi ya waliokatwa walio ndani ya CCM kumalizia hasira zao pale kwa kuwa walikatwa)!

Wengi wa viongozi hawa hawajui maisha halisi ya mtanzania wa chini(Kama wanajua wanajua kwa namna kufikirika tu), leo hii hawa ni watu wa kufanyiwa hivi

Kauli kama "Wapigwe tu...",

"Wapinzani(Waliokwenda Upinzani) ni wapumbavu na malofa",

"Mil. 10 ni fedha ya mboga tu",

"Mkishindwa kulipa nauli mpige mbizi",

"Tutashinda tu hata kama kwa goli la mkono" na aina nyingine nyingi ya matusi, kejeli na dharau vinamdhalilisha mwanananchi!

Ninahitaji Kiongozi anayesimamia sheria, inaposemwa mwisho wa mkutano ni saa kumi na mbili jion(saa 12:00), basi na iwe hivyo lakini si saa 1231!

Ninahitaji kiongozi mwenye busara katika matamshi ya maneno na mwenye kuulinda ulimi wake!

Nahitaji kiongozi mwenye kunadi ilani yake, sera zake kwa umakini na namna nitakayoelewa na si kuponda upande mwingine(wa pili) kwasababu ya umasikini wa hoja anazoshindwa kutoa.


Tatizo wengi wa viongozi wanadhani "immunity" waliyonayo inawakinga na UHAI wao! Wananchi pia wana 'threshold' yao ya uvumilivu na hasira. Niwakumbushe tu kuwa kulikuwa na viongozi makini sana 'Nchi za watu' waliouawa tena wakiwa na Ulinzi wa kutosha kwa sababu ya kauli mbovu tu pamoja na umakini wao. Tena kwa sisi na vijana wetu(waliokwenda jeshi) na hawana ajira(ninyi mwawaita vibaka), watakaowa-assassinate, mmoja baada ya mwingine ndipo mtakapotambua 'maskini jeuri' wa nchi hii.

Wengi wanadhani bado wanaweza kupumbaza watu kwa vyombo vya habari vya ndani(Local Media) lakini niseme Afrika Mashariki sasa inaona Afrika na Dunia nzima sasa inaona kinachoendelea Tanzania(ikitazama Viongozi wakubwa wakitukana hadhari, wakistaajabu aibu kubwa ya viongozi kujiandaa kusimama kuponda upande wa pili bila ya wao kuwa na hoja).

Kwa sasa ilani ya CCM imekuwa ni UKAWA, Hoja zao ni UKAWA. Bila UKAWA CCM haitaweza kuwepo!

Hivyo basi mimi na upumbavu, ulofa wangu nikiwa 'kibaka' na 'mnywa viroba' nitaisubiri Oktoba 25, 2015 kwa Mapenzi ya MUNGU kuonyesha ubora wangu na kichinjio changu.
 
Akili ni nywele. ..mzee wetu hana hata moja, msameheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…