Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

SWALI LA LEO!!

Wanaojiita chama cha ukombozi wakati ukombozi ulishafanywa mwaka 1961 ni Malofa na wapumbavu,

Je wanaojiita CHAMA CHA MAPINDUZI wakati mapinduzi yalishafanyika 1964 na hakuna mapinduzi mengine wanaitwaje...??
 
Na wanaojiita Chama cha demokrasia wakati Wameshindwa kuisimamia demokrasia katika chama chao hawafai kabisa ni MALOFA TU
 
Yah kwa kuwa wamezoea mipasho na kuchezesha viuno!
Dawa yao ni moja tu hao MATAJIRI na WAJANJA wa Sisiem waliotuita sisi wananchi wao kuwa ni WAPUMBAVU na MALOFA nayo si nyingine bali kutumia 'vichinjio' vyetu yaani vitambulisho vya kupigia kura kwa 'kuwachinja'kwenye sanduku la kura hao waliolewa madaraka magambas.
 
SWALI LA LEO!!

Wanaojiita chama cha ukombozi wakati ukombozi ulishafanywa mwaka 1961 ni Malofa na wapumbavu,

Je wanaojiita CHAMA CHA MAPINDUZI wakati mapinduzi yalishafanyika 1964 na hakuna mapinduzi mengine wanaitwaje...??
Hao watakuwa wanaitwa mazuzu wa kutupa!
 
Na wanaojiita Chama cha demokrasia wakati Wameshindwa kuisimamia demokrasia katika chama chao hawafai kabisa ni MALOFA TU

Topic haihusu mambo ya demokrasia, ukitaka anzisha yako.
 
Wanaojiita chama cha ukombozi wakati ukombozi ulishafanywa mwaka 1961 ni Malofa na wapumbavu,

Je wanaojiita CHAMA CHA MAPINDUZI wakati mapinduzi yalishafanyika 1964 na hakuna mapinduzi mengine wanaitwaje...??

UKAWA hatutukani mtu kwani hizo sio sera zetu!! Wao walituita wapumbavu, sisi tunawaita watu wanao hangaika baada ya kujua muda wao wa kukaa madarakani UMEFIKA UKINGONI, kwa kutambua hilo hatushangai kusikia matusi kutoka watu kama B.Mkapa and the alike!!

Inshort nilishangazwa sana kusikia maneno machafu kutoka kwa kiongozi mstaafu (mkapa) na iliniuma zaidi kuona serikali wako kimya!!!

Matusi kutoka kwa ccm na hujuma zao kwa upinzani ni dalili njema inayoonyesha kwamba wanaenda kutoka madarakani na ndio maana wanatapatapa hasa kwa kutoa matusi na hujuma kwa upinzani...wanawaogopa UKAWA!!!
 
Hao wanapaswa kuitwa mazuzu wa kiwango cha juu kupita hata wale mazuzu walioko kwenye kile kikundi cha The Commedy!
 
Atawasikia basi?hii nchi ukitaka uonekane mbaya hoji haki yako..
 
Waombe JF wakuanzishie jukwaa lako uchague na wachangiaji wako la sivyo tulia dawa ikuingie
 
mabadiliko ya kwanza tunayoyahitaji ni kuiondoa ccm madarakani. pili tunahitaji kasi ya maendeleo. barabara zetu vijijini ni shida. maji ya kunywa ni shida. tatu tunahitaji kujenga misingi ya haki ili taifa letu liendelee kuwa moja. hatutaki ubaguzi wa aina yoyote uwe wa dini,kikabila au wa kiitikadi. tunataka vyombo vya dola vitende haki kwa wote bila kujali itukadi za watu. pia tunataka tbc iwe chombo cha wote bila kujali ccm, cuf nk. hayo hayawezi kufanywa chini ya ccm kamwe.
 
Asubuhi njema, anzeni na Mungu kwanza mengine baadae.
 
UKAWA hatutukani mtu kwani hizo sio sera zetu!! Wao walituita wapumbavu, sisi tunawaita watu wanao hangaika baada ya kujua muda wao wa kukaa madarakani UMEFIKA UKINGONI, kwa kutambua hilo hatushangai kusikia matusi kutoka watu kama B.Mkapa and the alike!!

Inshort nilishangazwa sana kusikia maneno machafu kutoka kwa kiongozi mstaafu (mkapa) na iliniuma zaidi kuona serikali wako kimya!!!

Matusi kutoka kwa ccm na hujuma zao kwa upinzani ni dalili njema inayoonyesha kwamba wanaenda kutoka madarakani na ndio maana wanatapatapa hasa kwa kutoa matusi na hujuma kwa upinzani...wanawaogopa UKAWA!!!
 
Kwanza ni kichekesho kusema eti Lowassa angewavunja vunja mafisadi! Sawa, tunawapenda wagombea wetu na tunavipenda vyama lakini hii isitifanye kujitia upofu usio na maana yoyote! Hivi kweli Lowassa yule ana uwezo wa kumvunjavunja Rostam Aziz? Lowassa huyu kweli ana uwezo wa kumvunjavunja Kalamagi na mkataba wao wa kinyonyaji akishirkiana na TICTS kule container terminal?

Turudi kwa Mkapa! Yaani leo nikiona watu wanamlalamikia Mkapa nawashangaa sana! Hizi siasa zenu na mahaba yenu yasiyo na maana yanawatia upofu! Binafsi zamani nishasema sana kuhusu tabia za kishenzi za Mkapa linapokuja suala la matusi! Hapa nishasema sana kwamba MKapa Administration ilikuwa very corrupt lakini habari zilikuwa hazitoki nje coz' hata waandishi wa habari wenyewe walikuwa wanamuogopa coz' wakati mwingine alikuwa anawatukana hata hadharani! Nyinyi nyinyi ambao leo hii mnalialia baada ya kuambiwa ni wapumbavu na malofa ndio nyinyi nyinyi mlikuwa mnamtetea!
 
Huyu ndiye aliyeuza benki ya NBc na sasa inachechemea,aidha huyu ndiye aliyeisaidia chadema kushinda huko Arumeru kisa matusi yake

" hivi kwa kutunyima Elimu,kwa kutuminya uhuru wa habari,kwa kututungia katiba mbovu,kwa kutusababishia mtindio wa Ubongo, kwa kutunyima maji safi na kutuacha tukinywa majimachafu,na kwa kutunyanyasa kupitia polisi wenu,na heshima uliyopewa na watanzania kuwa kiti cha mbele ndio ututukane?

Mkapa tuombe radhi hapa sote tunapita tu,hakuna rais mstaafu makini aliyewahi kutukana wapinzani wake kifkra!
Wewe unaongoza,narudia tuombe radhi mapemaaaaaaaa!
 
.. kapa anataka kuajiri mtu atakaelinda ufisadi wake ukiwemo udisadi wa gufuli,rizwan,jk. walimwogopa lowasa maana angaliwavunjavunja ccm na mafisadi yao yaka mkata jina
business as usual: urais wa hisani kana mwabudu sana jk jana kanainama sana kwake na kumkumbatia. hovyo kabisa

Gufuli anazungumza kufanya mabadiliko bila kujua. anadakia shauku ya watanzania bila kujua jamani mabadiliko wanayoyataka watanzania sio malalamiko aliyokuwa anaeleza jana eti tz inamifugo mingi serikali ya kipuuzi imeshindwa kuweka kiwanda cha nyama mara samaki wengi nchi haina kiwanda sio hayo kamwe.Mabadiliko ya watanzania ni kuizika ccm pamoja na kutenganisha siasa na serikali. kwa kweli ccm imetuonesha dhahili haina dira wala mwelekeo business as ussual.

Dokta Slaa yuko wapi?
 
Back
Top Bottom