Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
mkapa hakusema watanzania ni wapumbavu
alisema chama kinachojifanya ni cha ukombozi
leo baada ya 50yrs of independence ni
wapumbavu na malofa. Shida wewe na UKAWA
wote mmeona hamna hoja za kuzungumza sasa
hivi baada ya kila vipaumbele kuguswa not Dr
magufuli mnaanza kutafuta huruma ya
watanzania na kuanza kutoa sababu za
kushindwa sasa. Poleni sana uchaguzi huu
mmeshapoteza ccm watashinda mchana kweupe
Kwani chama ni nini? Chama si watu ambao ni wanachama??
Poor you!!!