Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

siku hizi kuna shule za sekondari ambazo zina walimu wanne tu? ama kweli naungana na mkapa kuwa watu wengine ni wapumbavu.

Mkuu usidhani hapo ulipo ndo Tanzania yote iko hapo. Usikurupuke.
 
mkapa hoyeeeee

magufuli hoyeeee

magufuli njia nyeupe magogoni

safi sana
 
Mimi ni mwl sihitaji lap top nataka kitabu kimoja change kufundishia kwa kila soma nakitumike nchi nzima kama hapo zamani tulivyo soma sisi.
 
Kero baba lao ni jinsi kama kawaida yenu mtakavyowapigia kura kuwaingiza ikulu kwa mara nyingine tena wakazidi kuvimbiwa na kuja kuwathibitisha hadharani mlivyo wapumbavu na malofa wa kutupa!
 
Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.

Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?
 
Hiki ndicho tulichokitegemea kiwe mrejesho kwa Mz Ben .
Kwani ukitaka mama yako atukanwe , basi anza kumtukana mama wa mwenzako .
 
Kaja kwa sisi malofa wenzie...what`s wrong with that?

Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.

Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?
 
hawezi kuongea?,hata asipoongea sisi tunamuelewa,kifupi ni kwamb ahata asipopiga kampeni tunampa kura

Na hapa ndipk Mkapa alipowaweza nyie wapumbavu. Kudhihirisha kuwa ni wapumbavu na malofa, mmeacha kumnadi mgombea wenu ambaye hata kuongea hawezi
 
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku niliko natembea zaidi ya Km 10 kwenda zahanati nako sipati dawa kweli nikidai ukombozi nakuwa mpumbavu na lofa?
Mtoto wangu anasoma shule ya kata yenye walimu wanne wanaofundisha kidato cha kwanza hadi cha nne. Nikidai mabadiliko mimi ni mpumbavu na lofa?
Jamani tulioitwa wapumbavu na malofa tuorodheshe kero zetu hapa.

Muhehimiwa ana kiburi cha kutuita hivi kwa sababu serikali yenyewe imetuandaa wapumbavu na malofa.Haiwezekani kuna shule za kata zisizokua na waalimu na mtu ana maliza form four ajui kusoma na kuandika vizuri.

Kwa hio hili ni zao la sisiemu na ndo maana katuambia laivu kwani ilikua kwenye mpango,tunashukuru Mh.B.M
 
Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.

Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?

yule mkumbi aliyerejea jana naye tumwiteje
 
Back
Top Bottom