MWANAWILE
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 277
- 135
siku hizi kuna shule za sekondari ambazo zina walimu wanne tu? ama kweli naungana na mkapa kuwa watu wengine ni wapumbavu.
Mkuu usidhani hapo ulipo ndo Tanzania yote iko hapo. Usikurupuke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hizi kuna shule za sekondari ambazo zina walimu wanne tu? ama kweli naungana na mkapa kuwa watu wengine ni wapumbavu.
Naungana na mkapa wapumbazi kabisa tena mlofa
Naungana na mkapa wapumbazi kabisa tena mlofa
WAPUMBAVU TENA MALOFA...kiswahili kigumu eti katukana
Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.
Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?
Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.
Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?
Haya unayoandika yatamuokoa Lowasa kutokana na kipigo atakachopigwa na Magufuli?
Na hapa ndipk Mkapa alipowaweza nyie wapumbavu. Kudhihirisha kuwa ni wapumbavu na malofa, mmeacha kumnadi mgombea wenu ambaye hata kuongea hawezi
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku niliko natembea zaidi ya Km 10 kwenda zahanati nako sipati dawa kweli nikidai ukombozi nakuwa mpumbavu na lofa?
Mtoto wangu anasoma shule ya kata yenye walimu wanne wanaofundisha kidato cha kwanza hadi cha nne. Nikidai mabadiliko mimi ni mpumbavu na lofa?
Jamani tulioitwa wapumbavu na malofa tuorodheshe kero zetu hapa.
Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.
Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?