Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

Mmhhhh Magu hakua fisadi?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmhhhh Magu hakua fisadi?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu kuu ilikuwa kuwakumbusha maandishi ya humu JF kuhusu Mkono na umalaika wake
 
Hili suala lianzie kwa uongozi wa JF, wanaruhusy dhihaka kama hizi za kudhalilisha watu waliokufa, ni utaratibu mbaya sana nilitegemea Maxence Melo achukue hatua kuanzia kwa dhihaka ya Dkt Magufuli ila wapi. Ila haya yana mwisho wake.
 
Huyo Mzee kama alikuwa msafi asiye na makandokando kiasi hicho mbona hamkujitokeza kumtetea nyie mliosomeshwa naye "aliposingiziwa" wizi na ufisadi na CHADEMA?

Miaka minane (8) ya list of shame mpo kimya hadi afe ndiyo muanze mapambio.
 
Asante kwa kunisaidia kujibu.
 
Fungeni uzi huu maana naamini marehemu huwa anasitiriwa ila kitendo cha kuonesha kuwa ufisadi ni ushujaa hili halikubaliki
Hakuna hata sehemu moja ulipoonesha ufisadi wa Nimrod Mkono zaidi ya kurukwa na akili tu.

Magufuli alianzisha mahakama ya mafisadi mpaka leo hakuna kesi hata moja, ndio huu upuuzi unaleta wewe.

Cc: Pascal Mayalla tunapowachafuwa watu tuweke na ushahidi, na siyo thread za mjadala au Dr Slaa kasema vile wakati Dr Slaa mwenyewe ni mgonjwa wa akili.
 
Mwizi kama Magufuli
Kama mtu akiwa mwizi ndio tunapata maendeleo vile.., sioni tatizo..., Ila wizi wa huyu jamaa na yule Chengge, kika siku nchi inalipishwa matrilioni kwenye mahakama za kimataifa, halafu wao wanakula 10%, mbwa kabisa. Halafu pesa zenyewe badala wazitumie nchini ili zirudi kwa watu wao, yenyewe yanaenda kujichimbia Marekani na pesa zote zinaenda huko...
 
Huyo Mzee kama alikuwa msafi asiye na makandokando kiasi hicho mbona hamkujitokeza kumtetea nyie mliosomeshwa naye "aliposingiziwa" wizi na ufisadi na CHADEMA?

Miaka minane (8) ya list of shame mpo kimya hadi afe ndiyo muanze mapambio.
Mwenyewe alikuwa hai, alipuuza na hakuna hatua zozote alizochukuliwa dhidi yake.

Hata waliopelekwa mahakamani kwa ufisadi kama Ruge Malila DPP ameshindwa kuthibitisha tuhuma zao, sasa unaanzaje kumvaa Wakili bingwa kama Mkono kwa tuhuma zisizo na ushahidi wa kisheria zaidi ya roho mbaya za watu maskini?

Unadhani Ruge angekuwa ndio Mkono leo si angeifirisi nchi kwa fidia ambayo angedai ya kumuweka ndani bila ushahidi?
 
Jibu hoja hiyo. Wezi kama akina Chengge wanapaswa kutupwa shimoni na kufukiwa tu, hakuna kuaga, suggest otherwise, na utoe sababu
 
Mkono mbunge pekee ambae alikua hatoi ahadi yeye anauliza wananchi mnataka nini? Anatekeleza hapohapo mbunge pekee wa kwanza kuwajengea wananchi wake shule za kisasa zenye madirisha ya alminium bila kusubiri serikali nchi hii ingepata wabunge aina ya mkono ingekua mbali sana
 
Lijambazi la Chato halikufukiwa kama mzoga ndio sembuse mwanamwema Nimrod Mkono? Wacha ujinga.
Nimemjibu mwenzio hapo juu, kama wizi ndio unakuwa vile watu wanapata maendeleo kiasi kile, mi ningeomba wizi uendelee. Ila wizi wa huyu jamaa na mwenzake Chennge kila siku wanakula dili kwenye mahakama za kimataifa , wanauza kesi tulipishwe matrillioni, uliza Tanesco walichofanyiwa na huyo mbwa, this country almost went bankrupt because of these greedy bastard, leo mnaleta unafiki hapa! Fukia mzoga huo, hakuna kuaga
 
Mzoga wa Chato funza wapo holiday wanajifaidia tu.
 
Unajenga shule 1 wakati umeingiza nchi mkenge kwenye kesi ambayo fidia tunayolipa ingeweze kujenga shule laki 5?! Halafu lenyewe linakuka 10% , majitu ya hivi ni kuyananga mwanzo mwisho..,
 
Popoma umekuja kumlilia mjomba wako. Huyu Mkono amerudisha nyuma maendeleo ya jimbo la Musoma Vijijini kwa kujikosha kujenga shule mbili huku akiwa kimya kuwasemea wananchi.

Miaka yote ya ubunge wake hakuwahi kuwa na hoja yoyote ya maana bungeni wala kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake zaidi ubunge wake aliutumia km njia ya kujilinda kisiasa. Kiufupi Mkono alikuwa tapeli wa kisiasa aliwatapeli wananchi wa Musoma Vijijini na Butiama
 
Bila wewe kujua kwamba dili alizopiga mahakama za kimataifa ndio zikasababisha seriakli ikalipe fidia kiasi cha kukosa pesa ya kuwapa bodi, halafu yeye anakula 10% na kurudisha kidogo kwenu akijidai anatoa pesa yake.., yaani ukikosa akili lia sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…