reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Mmhhhh Magu hakua fisadi?!!!Siku za nyuma ilikuwa ni wazi kabisa kuwa CCM kilikuwa ni chama cha mafisadi,wezi wa mali ya nchi hii.Orodha ya mafisadi iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA na mwanasheria wa chama Dr Slaa na Tundu Lissu kwa mpangilio ilikoleza ufisadi wa CCM.
Mchakato wa uchaguzi mkuu ulimtoa mmoja wa waliotajwa kwenye orodha kutoka CCM na kwenda CHADEMA.Huo ulikuwa ni mwanzo wa debate,kwamba ni chama kipi cha mafisadi? Mpaka sasa makada wa CCM wanawaona CHADEMA kama mafisadi kwa uwepo wa huyo mtu na kujaribu kuhamisha magoli!!
Kuondoa mzizi wa fitina,lazima namba zitumike kwa kutumia ileile orodha ya aibu ya Dr.Slaa ambayo wanaCCM ndio wanaitumia zaidi kuwashambulia CHADEMA.
Kwenye orodha ya mafisadi 11 waliotajwa na Dr Slaa pale Mwembeyanga,kwa sasa CCM inao 9(+mareh.Balali!!) ilhali CHADEMA wanaye mmoja tu.Kama hii orodha ndio kigezo na kama kweli kila aliyetajwa alikuwa fisadi,ni wazi CCM bado wana kazi kubwa ya kuhusu ufisadi nchini.
- Gavana wa Benki Kuu (BoT), Marehemu, Dk. Daudi Balali (CCM)
- Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge (CCM)
- Basil Mramba aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Rombo (CCM) na Waziri
- Gray Mgonja aliyekuwa Katibu Mkuu mstaafu, Hazina (CCM)
- Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Patrick Rutabanzibwa(CCM)
- Nazir Karamagi aliyewahi kuwa Mbunge(CCM)
- Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM)
- Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM)
- Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CHADEMA)
- Rais mstaafu, Benjamin Mkapa(CCM)
- Rais wa Sasa, Jakaya Kikwete(CCM)
mytake:Tumuunge mkono kila anayepiga vita ufisadi wakiongozwa kwa sasa na mh.JPM bila kuwabeza wapiga kelele kama Tundulisuu
Inapatikana: hapa CCM vs CHADEMA:Kipi ni chama cha mafisadi?
Inatokea:
CCM vs CHADEMA:Kipi ni chama cha mafisadi?
Siku za nyuma ilikuwa ni wazi kabisa kuwa CCM kilikuwa ni chama cha mafisadi,wezi wa mali ya nchi hii.Orodha ya mafisadi iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA na mwanasheria wa chama Dr Slaa na Tundu Lissu kwa mpangilio ilikoleza ufisadi wa CCM. Mchakato wa uchaguzi mkuu ulimtoa mmoja...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]