Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Tatizo ni kwamba asiye na akili hawezi kujitambua kwamba hana; huwa anadhani zimemjaa.yaani ukikosa akili lia sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kwamba asiye na akili hawezi kujitambua kwamba hana; huwa anadhani zimemjaa.yaani ukikosa akili lia sana...
Alikuwa ana-solve mambo haraka kuliko hata rais wa nchi? Kweli Nyerere alikuwa sahihi kwamba pesa zingerudi baadaye ili kuja kulijenga taifa tena.Sio fix. Tukiwa nkurumah baada ya wanafunzi kutoa malalamiko akauliza viongozi wa chuo wateje ni sh ngaoi wakataja. Akamwomba chawa wake check book akasahini hapo hapo. Akasema kufika kesho yake tutakuwa tumelipwa. Na mgomo ukaishia hapo.
Cheng......!!!Tumekula nae sana bata kiwanja kimoja osterbay na viwanja flani hv ya KIVIP masaki alikua hakosekani🤣🤣🤣🤣Sema mzee mdwanzi yule anavizia mademu wa watu.Anapenda dogodogo sana yule mshuaHilo linafahamika, kumpa heshima ni kutukuza ufisadi, kuna huyu na yule mwenzake Chengge
Kakudanganya nani? Viapo vinatolewa mahakamani na kwa mawakili tu.Sorry mkuu ,labda sikuelewi hapa yaani kupata ile commissions of oath stamp lazima nilipie...hii sio haki kabisa,hivi vitu ni vya bure kabisa tena unaweza kuvipata police stations au post office
Welcome to pithole country!!!Kakudanganya nani? Viapo vinatolewa mahakamani na kwa mawakili tu.
Na kuna taasisi hawatambui viapo vya mawakili ingawa siyo sheria, ila wanataka kiapo cha mahakama tu.
RIP siwezi ongea mengi maana hawezi kujitetea au kunijibu, ila hii fedha aliipata kihahali yaani bila kashifa yeyote?,kwangu beside President Nyerere (MHSRIP),ni Jackson Makwetta (MHSRIP)ndio aliishi clean line,wengine ni mafisadi na wezi wakubwa walioifanya nchi hii hadi leo hatuwezi to provide safe na clean water kwa raia
Welcome to pithole country!!!
Lipi?Thibitisha.
Na maguful umemsahau, a thrd personRIP siwezi ongea mengi maana hawezi kujitetea au kunijibu, ila hii fedha aliipata kihahali yaani bila kashifa yeyote?,kwangu beside President Nyerere (MHSRIP),ni Jackson Makwetta (MHSRIP)ndio aliishi clean line,wengine ni mafisadi na wezi wakubwa walioifanya nchi hii hadi leo hatuwezi to provide safe na clean water kwa raia
No comment mkuu, ila nimeandika pithole country NOT shithole country!Didi you mean SHITHOLE country?
Ukiambiwa ulete ushahidi unao??Wewe ni Mpuuziiiiiii Marehemu aliibia nchi hii hakuna mfanowe. Kitendo cha kumpa hiyo heshima ni kuhalalisha ufisadi
kwani tanzania ina uraia pacha tayari?View attachment 2593261
Hapo alikua na obama, ukumbuke alikua raia pia wa marekani
Acha Upuuzi! Mwizi ni mwizi, endelea uone comments za mbele uone unavyokurupukaUkiambiwa ulete ushahidi unao??
Acha ujinga, aliwahi kutoa ndiyo, na hadi bungeni aliwahi sema kama serikali haina pesa,yeye ataikopesha serikali....Hizo ndio fix
Huu ndiyo ushahidi? Acha matusi leta ushahidi!!Acha Upuuzi! Mwizi ni mwizi, endelea uone comments za mbele uone unavyokurupuka
Ukiambiwa ulete ushahidi unao??
MmhAsante, hata mimi ni Wakili na mihuri nagonga bure na sasa niko kwenye mchakato wa kujipanga kuwasaidia zaidi Watanzania wasio na uwezo wa kuajiri wakili, kupata huduma za msaada wa kisheria.
p
Watu wengi wana uraia pacha wa kimya kimya mbonakwani tanzania ina uraia pacha tayari?