Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

Sio fix. Tukiwa nkurumah baada ya wanafunzi kutoa malalamiko akauliza viongozi wa chuo wateje ni sh ngaoi wakataja. Akamwomba chawa wake check book akasahini hapo hapo. Akasema kufika kesho yake tutakuwa tumelipwa. Na mgomo ukaishia hapo.
Alikuwa ana-solve mambo haraka kuliko hata rais wa nchi? Kweli Nyerere alikuwa sahihi kwamba pesa zingerudi baadaye ili kuja kulijenga taifa tena.

Lakini kwa nini hakuchukuliwa hatua yoyote kama alifahamika? Au aliadhibiwa kindugu na kirafiki huko juu kwa juu? 🙂
 
Hilo linafahamika, kumpa heshima ni kutukuza ufisadi, kuna huyu na yule mwenzake Chengge
Cheng......!!!Tumekula nae sana bata kiwanja kimoja osterbay na viwanja flani hv ya KIVIP masaki alikua hakosekani🤣🤣🤣🤣Sema mzee mdwanzi yule anavizia mademu wa watu.Anapenda dogodogo sana yule mshua
 
Sorry mkuu ,labda sikuelewi hapa yaani kupata ile commissions of oath stamp lazima nilipie...hii sio haki kabisa,hivi vitu ni vya bure kabisa tena unaweza kuvipata police stations au post office
Kakudanganya nani? Viapo vinatolewa mahakamani na kwa mawakili tu.

Na kuna taasisi hawatambui viapo vya mawakili ingawa siyo sheria, ila wanataka kiapo cha mahakama tu.
 
RIP siwezi ongea mengi maana hawezi kujitetea au kunijibu, ila hii fedha aliipata kihahali yaani bila kashifa yeyote?,kwangu beside President Nyerere (MHSRIP),ni Jackson Makwetta (MHSRIP)ndio aliishi clean line,wengine ni mafisadi na wezi wakubwa walioifanya nchi hii hadi leo hatuwezi to provide safe na clean water kwa raia

Jackson Makwetta alikuwa nae fisadi, nakumbuka kuna wakati alikwenda kwa wafadhili kuomba msaada wa kupeleka Maji salama huko vijijini kwao. Alipewa fedha nyingi ambazo zilipitia halmashauri ya Njombe na kwa kushirikiana na DED wa wakati huo walichukua fedha zile na kupeleka maji kwenye kijiji kimoja tu; na alimpa kazi ya kusimamaia mradi huo ndugu yake ambaye alikuwa fundi cherehani!!!! Huko ccm hakuna msafii wamezidiana viwango tu!
 
kuna siku alikuja pale slypway ilikuwa mida ya saa 1 usiku mlinzi akataka kwenda sehemu ambayo usiku watu hawaruhusiwi kufika kwa sababu za usalama mlinzi akamwambia, mzee huku hakuruhusiwi watu sasa hivi, yeye akamjibu, unanijua mimi nani, ndo wakaja wale watu wanaomjua wakamnongoneza yule mlinzi, mlinzi akaubwata mkia,
 
RIP siwezi ongea mengi maana hawezi kujitetea au kunijibu, ila hii fedha aliipata kihahali yaani bila kashifa yeyote?,kwangu beside President Nyerere (MHSRIP),ni Jackson Makwetta (MHSRIP)ndio aliishi clean line,wengine ni mafisadi na wezi wakubwa walioifanya nchi hii hadi leo hatuwezi to provide safe na clean water kwa raia
Na maguful umemsahau, a thrd person
 
Ukiambiwa ulete ushahidi unao??

Ndio muanzilishi na Mwenyekiti wa "" BANK M" iliyofilisika! Sio uongo Mkono alitumia influence yake kupiga hela nyingine pale BOT enzi ya marehemu BALLALI!!
 
Back
Top Bottom