RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Wachimba kaburi mnakodi wavuta bangi tu kwa Buku tatu, faster mnazika au sio!!?Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
Mkipataga hela mnakuwa na nyodo utakuta zamani ulipenda sana uji wa msibani.Kila NCHI,jamii zina tamaduni na taratibu zao.Ni desturi za watanzania.Haya mambo naonaga ni ya kipumbavu tu na huchangiwa na ufukara. ..kwamba majiran wakija ndio atafufuka? Hii tabia ya kuona kua kila msiba uhudhurie hata kama haikuhusu ..
Ipo misiba hata haipikwagi chochote,lindeni desturi ipo siku tutakuwa hata tukianguka barabarani kwa kizungu zungu tutaachwa,tutaambiwa wapita njia sio wahudumu wa afya.Waswahili watu wa nongwa Sana.....wanataka kila mtu aache mambo yake ya msingi ahudhurie misiba utasema wewe ndio utamfufua....
Kwanza kwenye misiba wingi wao kama NZI hauna faida yoyote zaidi ya kula, kunywa na kujaza Choo tu.......kama wamesusa ndio vizuri.....unaita funeral service.... wana maliza kazi.....mnaendelea na mambo mengine....
Ukifa umeshakufa!Whats the point kuzikwa na mamia na maelfu ya watu?
Miaka yote Kaburi huwa linachimbwa na watu wa kukodishwa. Sijawai kuona jirani anachimba kaburi bureWachimba kaburi mnakodi wavuta bangi tu kwa Buku tatu, faster mnazika au sio!!?
Kwaiyo mnaona mmemkomoa? πππMzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hii stori inakuja kufanana kidogo sana na hii yangu ambayo niliishugudia.
Hii imenikumbusha mwaka 2019 nilihudhuria msiba wa babu huko Musoma kijijini cha Nyabange Wilaya ya Butiama. Nzengo walikuja kama kawaida wakashughulika kila kitu wakaandaa, lilipofika suala la kula kile chakula wakaitana baadae nikaona kila mtu anaenda kwake, kila kitu walicho andaa walikiacha kama kilivyo tukabakia ndugu tu.
Wakasema, mjomba ambae ndio msiba ulikuwa umepangwa hakuwa anakula kwenye misiba na yeye alikuwa anachangia tu. Na mke wake alikuwa anakuja kupika na kuondoka kula hawali wala hawakai kwenye msiba wa nzengo. Waligoma kabisa, sasa chakula walichokuwa wameandaa nikama sisi ndugu tusingekimaliza hata kama tungekula siku 2 bado kingebaki kingi tu. Ikabidi ndugu waitane na wakaongee na wazee mjomba akapigwa faini ya mbuzi ndio wakaja kushiriki.
Toka hapo mjomba hajawahi kuacha kuhudhuria misiba anakwambia nilichokiona sikuile ni fedheha hata kama unauwezo ile ni mbaya sana.
Hizo chuki za umaskini tu, mtu amekufa Basi. Wangekodi lile kampuni ya waombolezaji. Wazungu wameshaachana na huo ushamba wa kuviziana. Chakula siyo lazima kundi dogo linamzika imetoka hiyo Maisha yanaendelea. Nilikuwepo pale Eswatini kwenye maziko hakuna Mambo ya kupamba sijui chakula sijui vinywaji, Mwili unachukuliwa mortuary maziko asubuhi KUANZIA saa 3 na ni muda mfupi kundi la watu wa wachache. Tusiviziane km una hela Kodi kampuni ya maziko maskini Wana gubu sana.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hii stori inakuja kufanana kidogo sana na hii yangu ambayo niliishugudia.
Hii imenikumbusha mwaka 2019 nilihudhuria msiba wa babu huko Musoma kijijini cha Nyabange Wilaya ya Butiama. Nzengo walikuja kama kawaida wakashughulika kila kitu wakaandaa, lilipofika suala la kula kile chakula wakaitana baadae nikaona kila mtu anaenda kwake, kila kitu walicho andaa walikiacha kama kilivyo tukabakia ndugu tu.
Wakasema, mjomba ambae ndio msiba ulikuwa umepangwa hakuwa anakula kwenye misiba na yeye alikuwa anachangia tu. Na mke wake alikuwa anakuja kupika na kuondoka kula hawali wala hawakai kwenye msiba wa nzengo. Waligoma kabisa, sasa chakula walichokuwa wameandaa nikama sisi ndugu tusingekimaliza hata kama tungekula siku 2 bado kingebaki kingi tu. Ikabidi ndugu waitane na wakaongee na wazee mjomba akapigwa faini ya mbuzi ndio wakaja kushiriki.
Toka hapo mjomba hajawahi kuacha kuhudhuria misiba anakwambia nilichokiona sikuile ni fedheha hata kama unauwezo ile ni mbaya sana.
Utakuaje stressed wakati umeshakufa?πUmeandika comment yangu. Yaani mimi siwezi kabisa kuwa stressed na vitu vya kipuuzi kama hivyo, eti "kuzikwa na watu wengi" ili iweje!?
Ndio Maana Mzee Wasira anapambana peke yake.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hii stori inakuja kufanana kidogo sana na hii yangu ambayo niliishugudia.
Hii imenikumbusha mwaka 2019 nilihudhuria msiba wa babu huko Musoma kijijini cha Nyabange Wilaya ya Butiama. Nzengo walikuja kama kawaida wakashughulika kila kitu wakaandaa, lilipofika suala la kula kile chakula wakaitana baadae nikaona kila mtu anaenda kwake, kila kitu walicho andaa walikiacha kama kilivyo tukabakia ndugu tu.
Wakasema, mjomba ambae ndio msiba ulikuwa umepangwa hakuwa anakula kwenye misiba na yeye alikuwa anachangia tu. Na mke wake alikuwa anakuja kupika na kuondoka kula hawali wala hawakai kwenye msiba wa nzengo. Waligoma kabisa, sasa chakula walichokuwa wameandaa nikama sisi ndugu tusingekimaliza hata kama tungekula siku 2 bado kingebaki kingi tu. Ikabidi ndugu waitane na wakaongee na wazee mjomba akapigwa faini ya mbuzi ndio wakaja kushiriki.
Toka hapo mjomba hajawahi kuacha kuhudhuria misiba anakwambia nilichokiona sikuile ni fedheha hata kama unauwezo ile ni mbaya sana.
Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake mke pia walimuiga tabia.
Naunga mkono hoja.Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
Hii lugha hii nayo mh!The dead are gone, only living matter.