Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

Usilinganishe uchawi wa kipumbavu wa mswahili na uchawi wa kiakili
 
Vyote hivi wameunda kwa kuiga sayansi za wachawi.
 
Yaan story za kusadikika unaleta hapa jf,alafu unasema hujui kama ni kweli au uongo??
 
Wakati ninasoma shule ya msingi miaka hiyo, kulikuwa na mzee kama huyo uliyemsimulia, akijulikana kwa jina la utani tu la NYAU, lilizoeleka kwakuwa alikichukia, akiishj maisha ya upweke kwenye kibanda kidogo pembeni ya shule, mpaka miaka hiyo ya 90 mwanzoni, alikuwa bado akivaa mavazi ya kijeshi ya wakati wa vita hivyo pamoja na medali zake zote wakati wote . Naye pia alipigana vita vya pili vya dunia.
Ninachojutia sasa ni kwamba, badala ya kichota habari na kumbukumbu alizokuwa nazo, mimi pamoja na wenzangu tulijikita katika kumtania zaidi, shame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…