Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Anahusikaje hapa Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahusikaje hapa Mkuu?
Wao ndio waanzilishi wa Mji wa GamboshiWaliuchukulia gamboshi pia karne ya 16
Vyote hivi wameunda kwa kuiga sayansi za wachawi.Story za kufikilika tu, uchawi ni Artificial intelligence, Internet of things IOT, Information technology, integrated circuits, Microelectronics, PLCs, cyber space, nk,
Mzungu Hana Mambo ya manyaunyau au kupaa na ungo!
Bombardier, dream liner, space X, RAM, google, Apple, ebu elezea machawi kama ya kisfrika yapo wapi hapo!
Yaan story za kusadikika unaleta hapa jf,alafu unasema hujui kama ni kweli au uongo??Aiseee..
Nasikia hata kwenye machimbo ya sasa ya GGM kule Geita napo walizindika, miaka ya baadae kdg kabla ya ggm ya sasa kuanza kuna watu walijidai kichwa ngumu wakaenda kuforce kuchimba ila yakatokea mafuriko makali balaa, ni kama walipasua mwamba wa maji.
Nasikia hadi leo hio sehemu ipo underground imewekewa na geti, sijui kama ni kweli au la