Mzee mwenzangu hivi ukisalimiwa na kabinti kadogo 18+ ulikokaelewa unafanyaje?

Mzee mwenzangu hivi ukisalimiwa na kabinti kadogo 18+ ulikokaelewa unafanyaje?

Halafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tu🤣

Kuchongeana tušŸ˜
Ile siku ya wanawake duniani jirani yangu "Mstaafu" alitaniana na mmoja wa age hiyo mgahawani wakati wa futari, huwezi kuamini majuzi tu binti ameshaanza kumuomba matumizi na fedha ya sikukuu
 
Unakajibu 'unataka kuninyima nini mtoto mzuri' huku ukicheka cheka kama lifataki😃

1742993572592.jpeg
 
Halafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tu🤣

Kuchongeana tušŸ˜
Kakikuamkia "shikamoo" itikia "asante" badala ya "marahaba"!!! Halafu muda huo chomoa wallet faster na kashikishe noti 2 za elfu 10. Baada ya hapo subiria majibu.
 
Back
Top Bottom