Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Nani tena huyu jamaa mbona tunaharibiana sikuUnakajibu 'unataka kuninyima nini mtoto mzuri' huku ukicheka cheka kama lifatakiš
View attachment 3283868
Nani tena huyu jamaa mbona tunaharibiana sikuUnakajibu 'unataka kuninyima nini mtoto mzuri' huku ukicheka cheka kama lifatakiš
View attachment 3283868
Mzee gani anakunywa soda?Marhabaa, Binti karibu soda unaanzia hapo
Soda ya Binti, wazee tunakunywaga kahawa au alkasusuMzee gani anakunywa soda?
hawataki soda wao yao biereBinti karibu soda unaanzia hapo
Unaitikia dammit, why unawaza uzinzi eveyrtime?Halafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tuš¤£
Kuchongeana tuš
Mzee mwenzangu huyo ni mtu mzima mwenzioHalafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tuš¤£
Kuchongeana tuš
Mululuka naehawataki soda wao yao biere
Hahahaha,mnywa biere ni mzuri huyohawataki soda wao yao biere