mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,549
Ile siku ya wanawake duniani jirani yangu "Mstaafu" alitaniana na mmoja wa age hiyo mgahawani wakati wa futari, huwezi kuamini majuzi tu binti ameshaanza kumuomba matumizi na fedha ya sikukuuHalafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tu🤣
Kuchongeana tu😏
kiongozi kumbe ni rahisi ivo?Naitia salamu
Nimecheka Kwa sauti😹😹💔Unakajibu 'unataka kuninyima nini mtoto mzuri' huku ukicheka cheka kama lifataki😃
View attachment 3283868
Kakianza na hiyo response ujuwe mafao yako yapo hatarini....unaitikia marhaba, na kenyewe kakikuelwa baada ya kukasekesa, kataanza salamu za kishkaji i.e mambo vipe bebi, Hi ma bebi, uko powa honey.....
🙃🙂😐Unaitikia mengine yanafuata....
Ni hatari kwa kikokotoo😀Kakianza na hiyo response ujuwe mafao yako yapo hatarini....
Hawa watoto wazijua salary scale na mafao ya kikokotoo as if ni wafanyakazi, I.e zamia kwenye details za project inayo kulipa, ni kama watu wa betting walivyo conversant na odds za mechiNi hatari kwa kikokotoo😀
Kakikuamkia "shikamoo" itikia "asante" badala ya "marahaba"!!! Halafu muda huo chomoa wallet faster na kashikishe noti 2 za elfu 10. Baada ya hapo subiria majibu.Halafu muda huo mvi hata kama zilikuwa chache za mbali zitajitahidi kujitokeza almradi zionekane tu🤣
Kuchongeana tu😏
atakuwa anataka kula fea uyu au🤣unaitikia marhaba, na kenyewe kakikuelwa baada ya kukasekesa, kataanza salamu za kishkaji i.e mambo vipe bebi, Hi ma bebi, uko powa honey.....