Mzee Mwinyi alikuwa na nafasi ya kuwa Baba wa Taifa wa pili baada ya Nyerere ila maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo

Mzee Mwinyi alikuwa na nafasi ya kuwa Baba wa Taifa wa pili baada ya Nyerere ila maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo

Nyerere alikuwa na akili ila akishindwa kutumia akili zake kipindi cha mwisho kuwa na maono juu ya uelekeo wa dunia kutoka ujamaa kwenda ubepari. Kiburi chake ndio kimesababisha hadi sasa tupo nyuma kimaendeleo.
Kina nani walikubali na wako wapi..
 
Mwinyi hakusema "katiba ivunjwe", alisema katiba "ifikiriwe kubadilishwa" kipengele cha ukomo wa raisi ili Magu aendelee,--- hayo yalikuwa ni maoni ya Mwinyi kama Rais mstaafu, kama raia mwenye haki zote za kutoa maoni kama jinsi wewe unavyotoa hapa.

Katiba inaweza kubadilishwa na imeshafanyika hivyo mara kadhaa kukidhi haja ya wakati, Katiba sio Qur'an au Biblia, katiba ni sheria zilizotungwa na Bunge, hoja ni hii; ni Bunge gani lingekaa kwa wakati ule/ huu kubadilisha hiyo katiba, kimsingi Mwinyi alikuwa anamfurahisha Magu (kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa) ili kumtengenezea njia Hussein.

Hata kama ingewezekana katiba ibadilishwe mimi binafsi sikubaliani na mawazo ya Mwinyi ambayo yasingeweza kutekelezeka.
KWA HADHI YAKE MAONI YAKE TU YANATOSHA KUFANYIWA KAZI KAMA HUJUI. HAPO ALIPO MAGU AKITOA NENO AKASEMA NI MAONI YAKE TU, NAKUHAKIKISHIA WAHUSIKA WA NENO HILO KINACHOBAKI NI UTEKELEZAJI TU. MAONI HUENDANA NA HADHI YA MTU. MTU KAMA WEWE YAWEZA KUWA MAONI LAKINI MTU KAMA MAGU AU MWINYI MAONI YAKE NI YA KUTEKELEZA TU.
 
Maoni sio amri au maagizo, maoni ni ushauri yaani jinsi mtu anavyofikiri kwa mtazamo wake, maoni ya aina hiyo yanaweza kuchukuliwa au kuachwa kulingana na mazingira husika.

Opinion is like an advice and not an order or a commandment.
 
YOU DO NOT KNOW WHAT YOU ARE SAYING. SHOULD YOU KNOW THE CONCEPT OF LANGUAGE AND THE POWER OF WHO SAYS SOMETHING YOU COULD NOT ARGUE LIKE THAT. DO YOU THINK YOUR OPINION HAS THE SAME VALUE AND WEIGHT LIKE IT IS FOR MWINYI?
 
As regarding to my status no one would dare give me the opportunity offered to Mwinyi, Being a retired president and national of this country, Mwinyi has a privilege and all rights to advise and express his opinions, whether he could be wrong or right in the course; that is another case and it is his personal ambitions and aspirations, those attributes every body has.
 
Back
Top Bottom