johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema wanachukia kuona maendeleo yanaletwa na Ccm hasa chini ya JPM. Roho inawauma sana. Nafikiri walitaka hizi pesa wapewe ili wazitafune. Maana wamezoea kutafuna ruzuku.Magufuli amekuja kufanya mambo mengi sana, Watanzania tutamkumbuka huyu Baba kwa uchapakazi na upendo wake kwa Nchi
Lazima utakuwa pingapinga Fc. MBOWE ndo analeta maendeleo hapa nchini.Huyo hakuna la maana alilofanya.
Sio lazima sote tufanane IQLazima utakuwa pingapinga Fc. MBOWE ndo analeta maendeleo hapa nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hatujagusa KoroshoBado hujagusa madini na utalii.
Itakuwa vigumu Sana nyie kupewa nchi. Wananchi tunaona yanayofanyika nyie pingapinga Fc mnawafanya wananchi wajinga hawaoni yanayofanyika. Mbowe katafuna 8 bl mnakataa eti kajificha anakwepa kuhojiwa.Jiwe juu ya mawe hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusambaza woga kwa watumish,kuharibu uchumi wa Nchi,kuleta nongwa ,fitina na kujipendekeza miongoni mwa makada wa mboga mboga
1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
Hatata JNHPP uliasisiwa na Mwalimu JKN lakini JPM amekuja kutekeleza.Flyover ni mradi toka enzi za Mzee wa Msoga.
jamaa mwendo kasi kumbe?1. Stiegler's gorge HP
2. SGR
3. Uundwaji wa meli lake victoria, tanganyika na nyasa.
4. Ununuzi wa ndege na upanuzi wa viwanja vya ndege na vya kisasa kabisa.
5. Ujenzi wa miundo mbinu ya kisasa( fly overs, madaraja ya busisi across lake victoria na tanazanite bridge. Pia barabara nane ubungo - chalinze, ujenzi na upanuzi wa barabara za kisasa unaoruhusu magari kupishana hata matatu hivyo kupunguza ajali.)
6. Usambazaji wa umeme kuanzia kwenye tarafa, kata hadi vijiji.
7. Vituo vya afya bwerere. Tena vya kisasa na huduma ya oparesheni ili kupunguza vifo vya uzazi.
8. Miradi ya maji na usambazaji wa maji maeneo mengi.
9. Uboreshaji wa vyuo na sekondari zilizichoka.
10. Wanafunzi kukaa chini imebaki historia.
11. Ufufuaji na usimamizi wa mazao na kumnufaisha mkulima( pamba, mkonge, chikichiki, korosho, ufuta.) Pamoja na uondoaji wa tozo.
12. Usimamizi wa mapato ya serikali uliowezesha serikali kuwa na akaunti moja badala ya 2000.
13. Usimamizi mzuri wa vita ya corona. Hapa kila mtanzania alijua tumeisha. Jamaa alitia ujasiri wa hali ya juu sana.
14. Upigaji na upigwaji kwenye ardhi umepungua kwa asilimia 90.
Mengi sana unaweza kuandika vitabu.
Unauwzo mdogo sana wa kufikiri we mateka wa lumumba.Chadema wanachukia kuona maendeleo yanaletwa na Ccm hasa chini ya JPM. Roho inawauma sana. Nafikiri walitaka hizi pesa wapewe ili wazitafune. Maana wamezoea kutafuna ruzuku.
Pamoja na mengi mengi mazuri aliyoyafanya JPM haswa suala la nidhamu ktk kila taasisi ya umma na kupunguza mianya ya wizi wa rasilimali za taifa na Aina nyingine za ubabaishaji, ikiwemo pia miradi mbalimbali...Ila Kuna miradi mikubwa umeitaja ilikuwa chini ya JK , mfano fly over zote za Dar, daraja la salander, SGR, Stiegles gorge, na kama Kuna kitu Cha kumkumbuka JK basi ni upanuzi wa uwanja wa kimataifa wa JKN terminal III.1. Stiegler's gorge HP