Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

Pamoja na mengi mengi mazuri aliyoyafanya JPM haswa suala la nidhamu ktk kila taasisi ya umma na kupunguza mianya ya wizi wa rasilimali za taifa na Aina nyingine za ubabaishaji, ikiwemo pia miradi mbalimbali...Ila Kuna miradi mikubwa umeitaja ilikuwa chini ya JK , mfano fly over zote za Dar, daraja la salander, SGR, Stiegles gorge, na kama Kuna kitu Cha kumkumbuka JK basi ni upanuzi wa uwanja wa kimataifa wa JKN terminal III.
Nadhani hata hilo la watoto kuto kukaa chini ni nikwete nakumbuka mwisho wisho hapa kabla ya kistaafu 2015 kulikuwa na hekaheka za michango ya madawati kila kaya katika kata husika na watu walilala ndani kwa kuto tekeleza hilo, tuwe wakweli wakati fulan
 
Tunakumbushana tu alama njema xilizowekwa na viongozi wetu wastaafu.
Kiukweli wamefanya mengi ila kwa yale ambayo yanajulikana kona zote za nchi ni hayo machache niliyoyataja hapo juu.

Kwa Dr Magufuli hii awamu ya kwanza tu nimeshindwa nianzie wapi maana mambo ni mengi, hapa nipo njia panda ya chuo kulia naona ubungo flyover na kushoto naziona Magufuli hostel.

Nitaendelea.........!

Maendeleo hayana vyama.
Mimi Magufuli ninamuangalia tangu awamu ya Tatu akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi
 
Pamoja na mengi mengi mazuri aliyoyafanya JPM haswa suala la nidhamu ktk kila taasisi ya umma na kupunguza mianya ya wizi wa rasilimali za taifa na Aina nyingine za ubabaishaji, ikiwemo pia miradi mbalimbali...Ila Kuna miradi mikubwa umeitaja ilikuwa chini ya JK , mfano fly over zote za Dar, daraja la salander, SGR, Stiegles gorge, na kama Kuna kitu Cha kumkumbuka JK basi ni upanuzi wa uwanja wa kimataifa wa JKN terminal III.
Hatuzungumzii makaratasi mzee. Tunazungumzia utekelezaji. Kwani mbona kuna miradi ilikuwa ya nyerere. Mradi kama wa Stieglers HP ni wa nyerere, makao makuu dodoma ni wa nyerere. Tunazungumzia utekelezaji na umalizaji wa miradi.

Huyo JK mradi aliomudu ni upi? Tukianza mwendo kasi ule ulisimama. Nauli ilikuwa buku mbili mwanzo mwisho. Majaliwa wa jpm akausimamaia ukaanza kazi na nauli ikawa sh 600.
Airport ile watu walishalipwa billion 500 yote wakati hata mradi haujaanza. Matokeo yake zikaliwa mkandarasi akaacha akidai hana hela. JPM alivyoingia akamchimba biti na mradi umeisha.

Flyover mpaka jk anaondoka hakukuwa hata na nguzo moja.

Miradi mingi ya jk ilikuwa haikamiliki, ikikamilika ipo chini ya kiwango. Kisima cha milioni mbili utaambiwa kimejengwa kwa million 80.

Ijue tanzania ndugu.
 
Dah...Kuna anko mmoja kule Kimara...kabla ya kuoga lazima amuombee mema Jeway...kisa kupata MAJI tu ..... 🤣 🤣
 
Uwanja wa chato
Mbuga ya wanyama burigi chato
Ikulu ya chato
Taa za barabarani chato
 
PPF tower imejengwa kipindi gani na pesa za nani, usisahau kusema na madeni wanayotuachia pia na mali walizotupotezea kwa ubinafusishaji usio na tija
 
Back
Top Bottom