Mzee Mwinyi alituachia PPF Tower, Mkapa katujengea National stadium, Kikwete kaacha Mwendokasi na UDOM, sasa twende na Rais Magufuli

No 13 nimemuelewa sana.bila kuwa ngangali sa hv tz tungelikuwa masikini wa kutupwa.hongera kwake
 
Look at you,

You sound pathetic,

Poor you.
 

Nasikitika na hii makala yako Sana, Kwamba mzee Mkapa alichofanya ni uwanja na vitu hivyo? Nakuakikishia Mkapa ni Muhasisi wa maendeleo tunayoyaona. Mkapa ataheshimika Kwa muda mrefu Sana hapa Tanzania. Mtendee haki huyu baba wa kimakonde aliye jenga Umoja wa kitaifa usio na Mfano , Asiye mdini wala mkabila.
 
Madictator wote wanajenga sana ila hakuna demokrasia
 
Usiwe na jazba, angalia kwa makini (meditate deeply) alichofanya JPM kwa miaka 4
 
Hujui kitu bwana nenda zako. Kwanza nani kakuambia daraja la kigamboni ni la serikali.

Daraja la kigamboni na chuo cha udom ni vya nssf. Ukipita pale kigamboni wanaichaji hela ni wafanyakazi wa nssf.
Ndugu kuelewa mambo ni vyema. Daraja la Kigamboni ni PPP. Ili PPP ifanikiwe serikali lazima iwe na mkono wake. Sijakufahamu level yako ya exposure. Ila nikuambie tu serikali huweka mazingira rafiki ili kuwezesha social security funds kuchangia katika material developments ya miradi mbalimbali ya kijamii. Nchi nyingi duniani zimetumia PPP na social security funds kujenga huduma za kijamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…