Mzee Mwinyi mbona upo kimya? Alipoingia madarakani Rais Samia ulimsihi afuate na kuendeleza mazuri ya hayati

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813

Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe.

Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika.

Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
 
Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe.

Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika.

Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
Ndio maana kakaa kimya,
 
Mleta mada, ebu kua mtulivu aiseeeee maana huyo mzee kwanza alisha sahau hata kama ana watoto, sasa anawezaje kukumbuka hata kama nchi hii ina bandari...🤔
 
Mzee mwenye hekima na busara zake aachwe apumzike.
Kutaka aongee ni kumtafutia vita vya uzeeni wakati nguvu zikiwa zimemuishia.
 
Mwache Ngoma ngumu apumzike,.Babu yako mwenyewe alipofika umri huo sumtime alikuwa anaogeshwa,alafu uje umuulize habari ya Bandari sijui Reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…