Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

Ndungu Mzee Mwinyi ni Halali kupoteza baadhi ya Kumbukumbu.Kuishi ndani ya Lile Jumba Jeupe miaka 10 kuna Mengi.
😀😀😀 Jumba jeupe lile lina mambo, ndo maana ukiishi pale lazima uzeeke haraka kabla ya muda wako.
 
ukiwa na mihela na afya, hata ukifika miaka 900 kama Nuhu poa tu, tatizo ukiwa na miaka 20 tu halafu umeanza kuwa omba omba lazima watu wakuchoke sbb unaonekana hovyo.
😀😀😀😀 pesa sabuni ya roho, asikudanganye mtu, kuna vijana miaka 35 wanaonekana wazee kwa Bakhresa kwa sababu ya njaa.
 
Vipi hayo mavazi waliyomvika; suruali ya mitepesho na kuivaa lazima apake mafuta!

Vijana siku hizi kweli wameharibikiwa mambo.

Hongera zake mpiganaji.

Kama afya inaruhusu Mwenyezi amjalie maisha marefu zaidi ya hapo.
 
Ameen mkuu 🤲
 
Hakukuwa na haja ya kuubeza uzee wa Mwinyi kwenye Uzi wako. Inaonesha jinsi gani wabongo tulivyo na roho ya "negativity".
Mwinyi ni babu yetu, kwahiyo nina haki ya kumtania mkuu. Hapo wala sikumbeza mkuu.
 
Back
Top Bottom