TANZIA Mzee Paul Sozigwa, aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Mwalimu Julius Nyerere afariki Dunia

RIP
Paul Sozigwa
Kizazi cha maana kiazidi kuisha, tunabaki na vitu vya ajabu kabisa!!
 
Tufafanulie alimpigiaje ,simu wakati miaka kulikuwa hakuna simu za mkononi?
Kuna mambo ambayo ukiyafikiria kisasa unahisi watu waliishije zamani ila kwa hili Mzee alikua hotelini kulikua na simu landline na kimiti alikua ofisini kuna simu TTCL
 
Mikingamo RTD kipindi nakumbuka kilikua kinatangazwa ma Seleman Hegga
 
Alipew mafao yake?
Hi inji we isikie tu kuna visasi vya halo ya juu Sana watu wanafanyiwa had I unakaa huwezi amini, unakuwa na thamani pale unapokuwa ofisini tu, ukistaafu tu ndo utaona rangi za binadamu, wengine uliowasaidia kabisa wakikuona kwenye korido wapo tayari kukimbia ofisi
 
Wale wanafiki watafungua midomo yao kumsifu,wakati mafao yake tu ilikua muhali kumpa.mnakera sana aisee
 
Pumzika salama Baba. Mungu awape faraja wafiwa.
 
RIP BABU SOZIGWA
POLENI SANA WOTEE MUNGU AWATIE NGUVU WAKATI HUU MGUMU FAMILIA YA SOZIGWA
POLE MCH MOSES POLEN MA SIS IRENE SOZIGWA NA WOTE..
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHINIDIWE
 
R.I.P katibu wa kwanza wa Ikulu Mzee Sozigwa.
Pumzika kwa amani babu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…