Mzee Philipo umezeeka mwili ila Kili bado za kijinga

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,200
Reaction score
17,670
Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
 
Naamini utakuja kujazia nyama huu uzi..

Au laah toa kabisa angalizo wanao ruhusiwa kuku elewa ni wale tu walio sikiliza hiyo Radio
 
Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
Yale yote ni pangu pakavu titia maji mchuzi
 
Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
ukweli hua una kera sana gentleman, ni vizuri kua mstahilivu 🐒
 
Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
Sikutegemea kama na yeye hana akili kama CCM wengine.
 
Nimesikiliza mjadala leo kwenye DW mchana huu uliohusu swala ra maridhiano. CCM iliwakilishwa na mzee Philipo mstaafu. Kwa kusikiliza jinsi alivyokuwa akitetea chama chake kwa hoja za kitoto, nimeamini kuwa kumbe sio kile uzee unaendana na hekima, kazeeka na ujinga wake
Yupo Mipango Dodoma
Nilisikiliza Leo
 
Unadhani unaweza kuitetea CCM kwa hoja za maana? Utazitoa wapi hoja za maana? Hata ungekuwa wewe ungezitoa wapi hizo hoja za maana? Ni kazi ngumu kuitetea CCM ukiwa na akili huru.
 
Back
Top Bottom