Mzee Philipo umezeeka mwili ila Kili bado za kijinga

Mzee Philipo umezeeka mwili ila Kili bado za kijinga

Unadhani unaweza kuitetea CCM kwa hoja za maana? Utazitoa wapi hoja za maana? Hata ungekuwa wewe ungezitoa wapi hizo hoja za maana? Ni kazi ngumu kuitetea CCM ukiwa na akili huru.
Naunga Mkono Hoja
*Babu Duni Haji Kasema Wazi Leo
CCM Haitakiwi Na Wananchi
 
Mzee kama huyu ndiyo Washauri Wakuu Wa Samia sasa.....!!!!!

Majanga....!

CCM inaondoka Madarakani ..very soon..ila ni kwa Damu Kumwagika sana ....
 
Back
Top Bottom