Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: CHADEMA na mgombea wao wameingia kwenye mpambano huku kisaikolojia hawako sawa

Ninachojivunia ni kwamba, kamwe Tanzania haiwezi kuja kuongozwa na ROBOT la Mabeberu. Tanzania itaongozwa na Rais mwenye Uzalendo wa kweli na mwenye nia thabiti ya kuwaletea Watanzania maendeleo.
 
Mzee shomari usitivuruge
Mwaka hu utaongea sana mbona dah
Acha waendelee kukulipa bukubuku ikifika 10.28 utajua hujui
 
Ninachojivunia ni kwamba, kamwe Tanzania haiwezi kuja kuongozwa na ROBOT la Mabeberu. Tanzania itaongozwa na Rais mwenye Uzalendo wa kweli na mwenye nia thabiti ya kuwaletea Watanzania maendeleo.
Beberu ni nani? Tuanzie hapo kwanza?
 
Huu uzi ulianzisha wewe? Hiyo heading uliandika wewe? Kwa hiyo umeipata vipi? stakehigh au wewe na mods mnashirikiana kufanya uhuni? Active Wand Huu uzi wote ufutwe.

chilax, kuna mengi yanakuja mbelen, kama una presha kajifukie kwanza sehem urudi uchaguzi uishe maaana kuna watu watakufa na presha huu uchaguzi
 
Mzee shomari usitivuruge
Mwaka hu utaongea sana mbona dah
Acha waendelee kukulipa bukubuku ikifika 10.28 utajua hujui
Mzee amenena ukweli,mliingia hamna uhakika wa ushindi. Sasa ni kuropoka maneno ya kuashiria vurugu tu.
 
Waje kwa faulo, vurugu, hawatashinda.
 
Mzee shomari wa kufikirika!Hujachoka tu?Tulishakushauri ujiamini na uandike ujumbe wako,kama hoja zako zina mashiko utaunngwa mkono!!!
Nilichoona kwenye bandiko hili ni porojo tu!
Mzee Shomari yupo,sema ujumbe wake unakuumiza moyoni.
 
chilax, kuna mengi yanakuja mbelen, kama una presha kajifukie kwanza sehem urudi uchaguzi uishe maaana kuna watu watakufa na presha huu uchaguzi
Mzandiki fala wewe.
 
Je, yeye huyo mzee Shomari wakati anayasema hayo alikuwa sawa kisaikolojia?
 
Kwani hukutaka Maghufuli apingwe kwenye uchaguzi huu. Swala la kushindwa na kushinda yawe matokeo ya haki. Kwanini wafuasi wa Ccm hampendi kisikia neno haki ?!
Kupingwa ni haki ya kikatiba,lakini isiwe sababu ya kuhubiri vitisho. Unatishia kupeleka watu the Hague kisa unajua utashindwa?

Unanyag'anya vitambulisho ili walipe ushuru kila siku,tumia akili wewe bendera fuata upepo.
 
Kwani hukutaka Maghufuli apingwe kwenye uchaguzi huu. Swala la kushindwa na kushinda yawe matokeo ya haki. Kwanini wafuasi wa Ccm hampendi kisikia neno haki ?!
Naamini wewe ni mtu mzima unajua lugha ya ushindani, au?
 
Kupingwa ni haki ya kikatiba,lakini isiwe sababu ya kuhubiri vitisho. Unatishia kupeleka watu the Hague kisa unajua utashindwa?

Unanyag'anya vitambulisho ili walipe ushuru kila siku,tumia akili wewe bendera fuata upepo.
Naamini wafuasi wa CHADEMA humu JF ni vijana wa vijiweni waliokuwa wakitumia viroba na kupoteza muda kwenye "pool", vitu vilivyokatazwa na Magufuli.

Ni vijana wenye elimu ya kutumia fursa tele zilizopo za kiuchumi wanasubiri ajira. Hawa wana chuki na Magufuli isiyo mfano.

Kwa taarifa yao, Magufuli atashinda kwa kishindo. Hivyo basi wajiandae kuishi katika utawala wake tena kwa miaka 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…