hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Mjuaji ni M/Kiti wa CHADEMA aliyetumia akili kujiweka pembeni kumsaidia Mgombea Urais wa chama baada ya kubaini ushindi haupo.
Wajuaji ni Katibu Mkuu wa Chama na Wajumbe wa Kamati Kuu ambao wanaona haya kupanda jukwaa la kampeni za Mgombea wao wa Urais kwa kuwa badala ya kunadi Sera anatumia muda mrefu wa kampeni kumdharilisha Rais aliyeko madarakani.
Ww kila kitu unachofanya unafanya na bosi wako?
Nyie mnaenda wote kwa vile ni serikali, na magufuli ni rais, ndio maana hata mkoan analala ikulu na sio hotel
Sasa upinzani Hawana hiyo nguvu, unataka wafatane wote Kwa ajili ya nn?
Na nyie mnaitaji lile kundi na wasanii ili mvute watu, mbona kwa mama Samia hakuna watu? Sera na chama si Hiko Hiko?