Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: CHADEMA na mgombea wao wameingia kwenye mpambano huku kisaikolojia hawako sawa

Huu uchaguzi ishu sio sera
Huu uchaguzi ni kuendelea na mabavu na watu
Kukosa Uhuru wa kukosoa na watu kupotea
Au tubadili tupate new start

Simple sana..

sasa mmejipangaje kuhakikisha mnawashinda waliochagua maendeleo???
 
Mzee Shomari ndo mbwa gani?
 
watetezi wa chama hawa
 
Kuna kila dalili uliwahi kulazwa Mirembe na hukupona
 
Huyo mzee shomari ndiyo wale viumbe wanaotumia njia za haja kubwa kufikiri?
 
Kuna kila dalili uliwahi kulazwa Mirembe na hukupona
Ubovu Nyie washabiki wa Chadema, hamuwezi jibu hoja kwa hoja, mtakuja na matusi ya kijinga. Kati ya wewe na mleta uzi, nani aliyeandika maneno yenye muelekeo wa mtu asiyekuwa na akili timamu
 
Mkuu ushauri hauruhusiwi kwa watu wenye mapenzi ya kupindukia,sana sana utaambulia matusi.
Labda subiri wenye sifa za kupiga kura wamalize kupiga kura.Tume itangaze mshindi hapo utapima kama bado wanahitaji ushauri wako.
 
Ubovu Nyie washabiki wa Chadema, hamuwezi jibu hoja kwa hoja, mtakuja na matusi ya kijinga. Kati ya wewe na mleta uzi, nani aliyeandika maneno yenye muelekeo wa mtu asiyekuwa na akili timamu
Uzee mwingine muda ukifika mungu awakumbuke.
 
Kuna mianya mingi ya ukwepaji mapato, na vyanzo vingi vya mapato havitumiwi. Kuna wabunge zaidi ya 300 wanalipwa hongo kubwa sana ikidaiwa ni mishahara na posho. Yote haya na mengine, yakirekebishwa kuna hela nyingi itaokolewa kuzidi ushuru na viparata kwa mjasiriamali. Kiparata ni kodi na ndio maana hukusanywa na TRA.
 

Ujuaji at work
 
Huyo mzee Shomari ndio nani?
Hili jukwaa siku hizi limejaa upuuzi sana!
Yaani ni utoto tu.
 
Ujuaji at work
Mjuaji ni M/Kiti wa CHADEMA aliyetumia akili kujiweka pembeni kumsaidia Mgombea Urais wa chama baada ya kubaini ushindi haupo.

Wajuaji ni Katibu Mkuu wa Chama na Wajumbe wa Kamati Kuu ambao wanaona haya kupanda jukwaa la kampeni za Mgombea wao wa Urais kwa kuwa badala ya kunadi Sera anatumia muda mrefu wa kampeni kumdharilisha Rais aliyeko madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…