Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: CHADEMA na mgombea wao wameingia kwenye mpambano huku kisaikolojia hawako sawa


Ww kila kitu unachofanya unafanya na bosi wako?

Nyie mnaenda wote kwa vile ni serikali, na magufuli ni rais, ndio maana hata mkoan analala ikulu na sio hotel

Sasa upinzani Hawana hiyo nguvu, unataka wafatane wote Kwa ajili ya nn?

Na nyie mnaitaji lile kundi na wasanii ili mvute watu, mbona kwa mama Samia hakuna watu? Sera na chama si Hiko Hiko?
 

Mwanzoni niliamini najadiliana na mtu wa HOJA kumbe wa VIOJA. Ati hata mkoan analala ikulu na sio hotel ni kauli ya ajabu kama siyo ya chuki. Yeye bado ni Rais wa nchi hivyo usalama wake bado uko mikononi mwa Serikali.

Ati nyie mnaitaji lile kundi na wasanii ili mvute watu nayo ni kioja badala ya hoja. Yaani hujui nguvu ya sanaa kufikisha ujumbe kwa jamii? Hapo ulipo kuna mambo mengi unayafanya kwa kuiga wasanii km mavazi, mwondoko, tabia (kuongea, kula, kucheka, kulala) nk. Kamwe usibeze bali heshimu nguvu ya nyimbo na mienendo ya wasanii.
 

Doh naomba nikukumbushe hapa ni jf sio Facebook,

Pili ongea kama mtu strong basi

Hoja yangu ni kujaribu kukueleza kuwa magufuli lazima awe na Tim kubwa Coz yy ni rais wa inchi

Nikakupa mfano wa kuwa ndio sababu hata mkoani analala ikulu
 
Doh naomba nikukumbushe hapa ni jf sio Facebook,

Pili ongea kama mtu strong basi

Hoja yangu ni kujaribu kukueleza kuwa magufuli lazima awe na Tim kubwa Coz yy ni rais wa inchi

Nikakupa mfano wa kuwa ndio sababu hata mkoani analala ikulu

Kwamba niongee kama mtu strong basi inatosha kuthibitisha kuwa unaamini niko strong kwa hoja.
 
Tanzania ya ajab sana.Kila mtu maarufu.
Kuliwah tokea MZEE MGAYA na
Sasa ni zamu ya MZEE SHOMARI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…