Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Uchaguzi wa mwaka huu ni kama wa mwaka 1995 ila mwaka huu mgombea wa CHADEMA ameingizwa chaka

Ingia field, kuna upinzani? Kama hata wabunge wa upinzani hawana pesa ya kampeni. Nini kinafuata?
Kuanzia mgombea uraisi, mpaka udiwani wanachangisha pesa. Ukija kwenye kampeni jazba na matusi unafikiri watanzania wajinga kukichagua hiki kikundi cha saccos?. Never, wajipange chaguzi nyingine.
 
Wewe nawe ndio walewale. Una uhakika mikataba haipo bungeni? Ishu ya tril 1.5 mbona ilipatiwa majibu.
 
Wewe nawe ndio walewale. Una uhakika mikataba haipo bungeni? Ishu ya tril 1.5 mbona ilipatiwa majibu.

Kuna mkataba gani umewahi kupelekwa bungeni hivi mbona unajitoa ufahamu. Kwa taarifa yako hakuna hata mkataba mmoja umeshapelekwa bungeni kama sheria inavosema sababu mingi ina makandokando, siyo wa ujenzi wa bwawa la Nyerere siyo wa ujenzi wa SGR siyo wa manunuzi ya Ndege. Hivyo hakuna anayejuwa miradi hiyo ina mashrti gani atakapokuja Rais mwengine ndipo tutajuwa kulikuwa na upigaji kiasi gani. Mbona huwa wananangana tu kama yeye alivyokuwa anamnanga mwenzake mkataba wa Bandari ya bagamoyo na kwenye gani. Dawa ni kupumzisha chama cha mboga mboga kwanza, na ndicho kinakwenda kufanyika. Sheria inasema mikataba ipelekwe bungeni ili kusiwe na ujanjajanja lakini wapi sasa wanaapishwa kulinda sheria zipi hizo.
 
Hawa mbogamboga ni waongo sana hakuna kitu huwa wanasema cha ukweli ninpropaganda tupu kila mwaka ili waendelee kuchaguliwa. Jana mgombea wao anawaambia wananchi alimteua balozi masilingi USA wakati aliteuliwa mwezi September 2015 na anasema alipomaliza ubunge akamteua kuwa balozi wakati masilingi alimaliza ubunge mwaka 2010. Huyo ni mgombea urais anasema uwongo jukwani, sasa ataaminiwaje na wananchi.
 
Mzee huyu muuza kahawa ndiyo wale wale wauza mahindi kwenye mikutano ya Rais wetu Magufuli, ni watu wa usalama hawa. Propaganda lazima
 
Nonsensical.
 
Mzee huyu muuza kahawa ndiyo wale wale wauza mahindi kwenye mikutano ya Rais wetu Magufuli, ni watu wa usalama hawa. Propaganda lazima
Unamsingizia bure, anasema ukweli. Kama Lissu akiruhusu kuuza korosho popote hata dhababu na Tanzanite ataruhusu ziuzwe nje. Lissu hafai anaropoka hovyo.
 
Sipati picha Siku nitakapomuona Tundu Lissu akiapishwa ili kwenda kufanya ka kazi kadogo alikoahidiwa na Rais Magufuli.
 
Kumbe mzee shomari ni darasa ya nne!!! Sawa sawa!
Kwa hiyo unamdharau? Mbona Lissu anadegree lakini anaropoka pumba? Hivi unaweza kuruhusu korosho na mazao ya biashara yakauzwe nje?
 
Akwende kule. Anafikiri ni enzi za kufumbia macho udhalimu kisa unafanywa na CCM? Huyu hajui mida imebadilika? Sasa hivi ni sawa na 1995? Hawa wazee wangetulia kimya kuliko kujitukanisha hivi. Ajiandae kwa kumsherehekea Lissu hiyo tarehe 29 baada ya matokeo.
 
Sio kila mzee ana busara maana hata wapumbavu huzeeka!Huyo mzee ni kati ya wapumbav waliozeeka!
 
Kwa hiyo unamdharau? Mbona Lissu anadegree lakini anaropoka pumba? Hivi unaweza kuruhusu korosho na mazao ya biashara yakauzwe nje?
Ndio,kwanini usiruhusu?Kwani Korosho inauzwa wapi siku zote?
 
Kama upinzani upo hai, mbona hatuoni pilika za wagombea udiwani na ubunge za wapinzani?
 
Mzee Shomari kapuyanga..MREMA ni kada wa CCM..Lissu hajawahi kuwa CCM...
Upinzani wa kweli ni 2020 toka chaguzi za vyama vingi zianze
 
Ndio,kwanini usiruhusu?Kwani Korosho inauzwa wapi siku zote?
Inauzwa ndani ya territory ya Tanzania,alafu nchi inapata mapato. Baada ya hapo ipo inayosafirishwa nje na nyingine inatumika hapa nchini.
 
Mzee Shomari kapuyanga..MREMA ni kada wa CCM..Lissu hajawahi kuwa CCM...
Upinzani wa kweli ni 2020 toka chaguzi za vyama vingi zianze
Lakini hana uwezo wa kupata hata 5% ya kura. Anaropoka hovyo majukwaani.
 
Lakini hana uwezo wa kupata hata 5% ya kura. Anaropoka hovyo majukwaani.
Ndio waganga wenu walivyowaambia???kura za Wanachadema ni zaidi ya 5% bado wakina Sisi tunaopiga kura za hasira
 
Hapo hakuna cha mzee Shomari au Mzee Mgaya wa yule BWASHEE! Hayo ni maoni ya huyo BUKU SABA aliyeanzisha huu uzi. Ameamua kuleta MAWAZO yake kwa style ya "MZEE SHOMARI" kasema!
Kisha ingiza 7 yake hapo!
 
Inauzwa ndani ya territory ya Tanzania,alafu nchi inapata mapato. Baada ya hapo ipo inayosafirishwa nje na nyingine inatumika hapa nchini.
Tatizo lenu vichwa maji!Unaweza ukawekwa utaratibu kwa wakulima kulipia ushuru kiasi fulani kama watatoa mazao yao nje ya nchi na nchi ikapata mapato vilevile na mkulima akaenda kuuza ambako anaona kuna soko na bei nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…