Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Uchaguzi wa mwaka huu ni kama wa mwaka 1995 ila mwaka huu mgombea wa CHADEMA ameingizwa chaka

Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Uchaguzi wa mwaka huu ni kama wa mwaka 1995 ila mwaka huu mgombea wa CHADEMA ameingizwa chaka

Na

Natumai wewe ndiye mzee Shomari mwenyewe,maana hoja ya mazao umekomalia kwelikweli.Ni ndoto yetu Sisi wakulima na wafanyabiashara wa mazao kuuza nje ya nchi ili tupate faida na fedha za kigeni.
Korosho ni mfano tu,kwani sasa hivi mazao unazuiwa kuuza nje? Sasa kama korosho ikiw inauzwa Msumbiji serikali itapata export levy? Ambayo huwa wanatozwa wanunuzi wa ndani? Unazidiwa akili hata na mzee Shomari!
 
Back
Top Bottom