Uchaguzi 2020 Mzee Sumaye ahoji wapi alipo Mbowe katika kampeni za Lissu

Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Hajaambiwa aache kupiga kampeni Hai (ambapo mwaka huu anangolewa). Yeye kampeni yake ni ndogo. Constituency ni kitu kidogo saana. Yeye kama kiongozi wa chama (CDM) anatakiwa kumsaidia mwenzake kwenye kampeni ya kitaifa. Vyama vingine vina kamati inayosaidia. lakini CHADEMA wao kimya. Kama Mbowe hawzi je katibu mkuu wa CDM mbona hayupo kumpigia kampeni. Uongozi wote wa juu umemuacha Mbelgiji anahangaika mwenyewe. Wanangoja matunda ya ushindi wake!
 
Uhalisia nikua kamati kuu haikuana mpango na Lisu wao walimtaka Nyarandu kwakua alisha jipanga katika swala la fedha za kampen. Walipo ona kuna shinikizo kutoka kwa wanachama wakaonaona isiwe tabu wamwachie Lisu msala alafu wao wa mute. Wanajua Lisu hawezi kutoboa na ndicho kinacho tokea
Walianza pamoja mpaka walipoachana Mbeya. Baada ya ugomvi Lissu akimtuhumu Mnyika kuwa ameuza majimbo 17 kwa 800m. Mbowe akamtetea hawakuelewana ndiyo Mbowe akapanda ndege Mbeya kurudi Dar kisha Himo na kumsusia uchaguzi. Pia ugomvi mwingine Mbowe amegoma kutoa hela za kampeni kwa madai kuwa atumie zile alizokuja nazo toka ulaya
 
Yaani siasa haina tatizo ila wanasiasa hawaaminiki.
Sumaye alivyokua anamponda Mh.Magufuli kwenye kampeni zilizopita huwezi amini eti leo anampigia debe.

Wakati ule alisema CCM imetekwa na Magufuli na hata kaulimbiu yake haikua chagua CCM bali ilikua chagua Magufuli

Sema nadhani hata mh.Magufuli hawaamini sana tena wanasiasa hao aliwafananisha na ng'ombe aliyetoroka zizini akakatwa mkia. Aliasa kwamba waangaliwe kwaumakini
Kama vile Lissu alivyokuwa anamponda Lowassa ila wakampokea na kumsafisha Hadi wakamdekia barabara.
 
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.View attachment 1611622

Haja msikia boss wake na mambo ya kuwashwawashwa?
 
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza
Je mmemuangalia mkia anao au bado haujaota ama kweli ukikatwa mkia akili inachukua nafasi ya mkia shauri yake cjui nzi atafukuza na nini????///
 
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.View attachment 1611622

Haja msikia boss wake na mambo ya kuwashwawashwa?
 
kuna uwezekano hawa kina bia yetu ni watu wakubwa tu huko CCM,ndiyo maana madudu wanayoongea kina sumaye ni haya haya ya kina jinga lao
 
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe Mkutelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.

Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.View attachment 1611622

Haja msikia boss wake na mambo ya kuwashwawashwa?
 
Uhalisia nikua kamati kuu haikuana mpango na Lisu wao walimtaka Nyarandu kwakua alisha jipanga katika swala la fedha za kampen. Walipo ona kuna shinikizo kutoka kwa wanachama wakaonaona isiwe tabu wamwachie Lisu msala alafu wao wa mute. Wanajua Lisu hawezi kutoboa na ndicho kinacho tokea
Kwahiyo Nyarandu ndiye alikua ashinde huu Uchaguzi?
Kampeini za CHADEMA zipo chini ya kanda ...jamaa wameweza kufika mpaka Lindi,Mtwara na Ruvuma...daah
 
Walianza pamoja mpaka walipoachana Mbeya. Baada ya ugomvi Lissu akimtuhumu Mnyika kuwa ameuza majimbo 17 kwa 800m. Mbowe akamtetea hawakuelewana ndiyo Mbowe akapanda ndege Mbeya kurudi Dar kisha Himo na kumsusia uchaguzi. Pia ugomvi mwingine Mbowe amegoma kutoa hela za kampeni kwa madai kuwa atumie zile alizokuja nazo toka ulaya
Weka ushahidi
 
Huyu Mr Zero ni maksai asiye na mkia
Ling'ombe lililo hasiwa halina mkia litulie tuu haliwezi kupanda tena linapangiwa kazi na akina polepole dhuuu angekuwa dingi yangu ningemsweka ndani
 
Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Alikuwa bega kwa bega na lowasa. Nadhani sumaye amecompare na 2015.
 
Back
Top Bottom