Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Hivi kufuga ndevu na kupaka hinna au wanja pia ni sunnah ?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Leo hata baadhi ya waisilamu wanaosafirisha mzogo maiti na kufanya kama wafanyavyo wakirito
 
Mbona watu mnakuwa wapuuzi sana! Mnashindwa kutenganisha ukristo na wakristo wenyewe! Wanao shone sure ni ndg wa marehemu hakuna mahali ambapo Padri au mchungaji amesema mje mkiwa mmevalia Sare hapa kanisani kwaajili ya Maziko hayo yote ya muda gani marehemu azikwe ni uamuzi wa familia husika na siyo ukristo
Jifunzeni kuacha mihemko na ujinga pumbavu sana nyie
 
Hii haifathiriwi na roho mtaka vitu ndugu yangu ukiitaka Challenge QUR'AN naamini itakuwa ni sababu ya kusilimu ALLAH akuongoze kwenye dini hii ya haki
 
Wewe muisilamu gani usie tii mafundisho ya mtume?sema wewe ni muisilamu jina tu usie jua chochote unaona ukiwa tofaoti na wapendwa wako wakirito wata kushangaa mambo ya dini waachie waisilamu wewe kaa kando
 
Kuna mshikaji mmoja kwenye pita pita zangu nikakutana nae sasa yule jamaa alikuwa mtu wa matukio sana, alikuwa mwizi jamaa sasa kuna siku wazee wa kazi walimtaitisha walipiga sana wakajua amekufa ikabidi wampelele mochwari, kesho yake wife wake kama zari vile alienda kumcheki kuangalia vzur jamaa mzima alizimia tu. Nikaona nitoe kastor kangu kafupi kila mtu ajitafakali kwenye ili tunalobishania hapa.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kwa imani yako wewe kama mkiristo hakuna alie kuzuiya hata ukiweka huo mzoga mwaka mzima sawa tu lakini kiisilam mtu akisha kufa na kuwa mzoga azikwe haraka hili akashudie matendo yake kama yalikuwa mema aione pepo kama alikuwa muovu aanze kutumikia moto
 
Wewe muisilamu gani usie tii mafundisho ya mtume?sema wewe ni muisilamu jina tu usie jua chochote unaona ukiwa tofaoti na wapendwa wako wakirito wata kushangaa mambo ya dini waachie waisilamu wewe kaa kando
Huyo Ndio Medecin hamna cha uislam hapo
 
Biblia ya wapi? Leta andiko
Kwan unakuwa umelazimishwa kuhudhuria msiba?

Hakini dini ya kinafiki kama hiyo unayoisifia

Hawa ndo wanaongoza kwa uzinzi na uasherati na ndio makundi mengi ya kigaid ni wao
Na inayokana na msingi wa imani yao
Yani kati watu wa hovio wewe ni namba 1
 
Ni ukengeufu hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyofanya
Utakuta hapo unapiga mihayo unasubiri jioni uende kwa Mzee Muba ukagongee futari...chakarika ...
 
Huo mlongolongo wote ni kuidhalilisha maiti
Halafu unayeteseka ni wewe sio maiti Wala ndugu zake ...hauoni ulivyo hamnazo....!!?? Acha wafu wazike wafu wao.... Zika wako unavyoona inafaaa.... Na Wahindu wanaochoma utasemaje... Ondoka katika ombwe .....
 
Kabla dini zipi kwani huo upagani wako na ukafiri na uisilamu kipi kilicho anza,mwisho mtu akisha zima Kawa mzoga tu muwe mwaka 1 awezi fufuka kuwa hai akisha kufa kwa mzogo hana thamani tena hata watoto na mke na wazazi na ndugu na jamaa wanakuwa wanatamani mzoga huo uwaondokee haraka ukitaka kuamini siku ukifiwa na mpendwa wako wakupe ulalenae chumba kimoja wikii
 
Qur'an haibadilishwi na hisia zako mzee. Kwanza wewe siyo muislam hakuna muislam ambaye anapingana na Qur'an .
 
"Haraka" ...

Hiyo haraka ni sekunde ngapi?
Dakika ngapi
Masaa mangapi ?
Siku ngapi?
Week ngapi?
Miezi...miaka...

Be specific.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…