Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Mzee haijalishi kinachotakiwa marehemu kaifadhiwa na ndugu zake wamekuja wote na wameshiriki kuuga mwili wa marehemu ndugu yao,Waislam ni waroho sana.Utaratibu wetu wa mazishi unaongeza NATIONAL INCOME kwa asilimia kubwa sana
UNALALAMIKA BASI TU NI KWA VILE HUJATAKA KUWAZA KIKUBWA ZAIDI.
ngoja nikufafanulie..
1. kulaza mwili mochwari, ni hela kwa serikali
2. kuusafirisha mwili from mochwari to home, ni hela kwa Transporter
3. Kuvalisha mwili mavazi makali na bling bling ni hela kwa wafanyabiashara
4.
5.
6.
Yote kwa yote tulia kwenye imani yako
yakikubana baba hamia huko...
Ndio maana nimeweka hapo kuwa ni maoni yangu binafsi na sio msimamo wa uislam, mimi sio mfuata kila linalosemwa kwa sababu natambua uislam asili yake sio huku kwetu na pia ni karne nyingi zimepita lazima mabadiliko yawepo.Uislam hauendeshwi kwa mawazo na busara zako, uislam unaendeshwa kwa kufata Quran na Sunnah
Katika uislam mambo matatu yanatakiwa yafanywe haraka.
1.Mtu anapohitaji kuoa aozeshwe haraka
2.Mtu anapotaka kuslim asilimishwe haraka
3.Mtu anapo fariki azikwe haraka.
Huo ndo uislam kila kitu kimefundishwa katika uislam had staili ya Kutembea, kula&Kunywa, kuvaa, kulala, kuamka, kiiila kitu kimefundishwa na huo ndo unatakiwa uwe mwenendo wa waislam na siyo burasa zako na maoni yako.
Kaka si uhamie huko? Hujazuiwa.Ni ukengeufu hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyofanya
Ukija kumzika atafufuka au atasamehewa dhambi zake ?Watu mnataka kufanya maisha yawe magumu sana,yaani mfano baba yake mtu amemzaa,amemlea kumsomesha etc akate moto ninyi ndugu msimsubiri huyu mwanae aje ashiriki mazishi yake?
Niambie wapi imeandikwa ni dhambi mwili wa marehemu kuhifadhiwa kwa minajili ya kusubiri maziko ya pamoja ndugu wote washiriki.
Leta ushahidi wa hichi unacho kiongea.Asili ya kukimbilia kuzika haraka siku hiyohiyo ulitoka ktk jamii za kimasikini... Kutokana na kushindwa kuhimili malipo ya kuhifadhi maiti wakashauriwa mtu akifa akazikwe haraka.Jamii haikupenda kuzika haraka ndipo dini ikatumika kushawishi kuzika haraka na jamii husika ikatii dini...
Kabla ya hizi dini binadam alikua anahifadhiwa wiki hadi mwezi bila kuzikwa, na hiyo process ya kuhifadhi maiti iliitwa MUMMIFICATION...
4.Kuazimisha tents siku tatu HELAUtaratibu wetu wa mazishi unaongeza NATIONAL INCOME kwa asilimia kubwa sana
UNALALAMIKA BASI TU NI KWA VILE HUJATAKA KUWAZA KIKUBWA ZAIDI.
ngoja nikufafanulie..
1. kulaza mwili mochwari, ni hela kwa serikali
2. kuusafirisha mwili from mochwari to home, ni hela kwa Transporter
3. Kuvalisha mwili mavazi makali na bling bling ni hela kwa wafanyabiashara
4.
5.
6.
Yote kwa yote tulia kwenye imani yako
yakikubana baba hamia huko...
Mtoa mada anadhani watu wanachelewesha maziko kama fashion....Watu mnataka kufanya maisha yawe magumu sana,yaani mfano baba yake mtu amemzaa,amemlea kumsomesha etc akate moto ninyi ndugu msimsubiri huyu mwanae aje ashiriki mazishi yake?
Niambie wapi imeandikwa ni dhambi mwili wa marehemu kuhifadhiwa kwa minajili ya kusubiri maziko ya pamoja ndugu wote washiriki.
Sawa Mimi ni kiaziHujaeleza points zozote ku counter aliyoeleza including technology ndogo ya kuhifadhi mwili enzi hizo.
Kwa maneno mengine wewe ni kiazi tu
Wewe kama unazika nduguzo kama watu mliowahi kugombana ni wewe.Ukija kumzika atafufuka au amehewa dhambi zake ?
Mtu akisha kufa thamani yako imekwisha ww ni takataka unatakiwa kuzikwa haraka utoe kero kwa watu.
Wengi linapokuja suala la dini akili huzivua na kuweka pembeni na kubaki na mihemko tu,sometimes hutumia hata uwongo alimradi dini imetetewa.Hujaeleza points zozote ku counter aliyoeleza including technology ndogo ya kuhifadhi mwili enzi hizo.
Kwa maneno mengine wewe ni kiazi tu
Huna sababu za msingiMzee haijalishi kinachotakiwa marehemu kaifadhiwa na ndugu zake wamekuja wote na wameshiriki kuuga mwili wa marehemu ndugu yao,Waislam ni waroho sana.
Maoni yako hayazingatiwi katika Uislam.Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Sasa ndio umeandika nini? Muongozo wa Mtume hauendi kinyume na Qur-an. Uko wapi wewe na maneno ya Allah;Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu
| Reference | : Sahih al-Bukhari 1315 |
| In-book reference | : Book 23, Hadith 72 |
| USC-MSA web (English) reference | : Vol. 2, Book 23, Hadith 401 |
| (deprecated numbering scheme) |
Sababu hii ndio alitupa Mtume? Unajua kama Mtume alikuwa haongei kwa matamanio yake? Allah ambaye ni Mjuzi wa kila kitu, ambaye ndio kamfunulia Sharia atufikishie sisi, anajua zaidi.kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Mambo hayapelekwi hivyo. Na dini haipelekwi kwa matamanio. Hata zamani kulikuwa na mbinu za asili za kuhifadhi maiti kwa muda mrefu lakini Sharia imesema azikwe haraka.Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Maoni yako binafsi hayazingatiwi.Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Mtu anayezikwa haraka haraka ni mwenye alikufa kwa magonjwa hatari ya kuambukiza kama EBOLA au CHOLERA! Kuzikwa mbio mbio ndiyo ataenda peponi direct!! Sisi lazima tumuage marehemu na tusubiriane,Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni tumuage kwa mara ya mwisho.
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Tunarudi palepale Uislam hauendeshwi kwa busara na maoni yako msimamo wa uislam ni mtu akifa azikwe harakaNdio maana nimeweka hapo kuwa ni maoni yangu binafsi na sio msimamo wa uislam, mimi sio mfuata kila linalosemwa kwa sababu natambua uislam asili yake sio huku kwetu na pia ni karne nyingi zimepita lazima mabadiliko yawepo.
Maelekezo ni kuwa mtu akifa inatakiwa azikwe haraka wakati huo, now lazima nifanye reasoning kwa nini ilisemwa hivi, nagundua ala kumbe wakati huo hakukua na teknolojia kubwa katika uhifadhi wa maiti, mawasiliano, uchukuzi n.k. Lakini uzuri zaidi imesisitizwa tu kuwa mazishi yafanyike haraka, hakuna palipotajwa kuwa yafanyike haraka kwa kiasi gani kwa hiyo kwako wewe masaa mawili unaweza kutafsiri kwamba ni haraka, yule akatafsiri haraka ni masaa sita na mimi nikasema haraka ni siku tatu, hakuna tatizo hapo.
Mimi sio kama wewe unafuata lolote bila kufanya reasoning, chochote kikitamkwa ni lazima kina sababu nyuma yake.
Kaa kimia huna elimu yeyote kuhusu sheria za kiislam na tena mwenyezi mungu amekemea vikali tabia ya kuongea kitu usicho kuwa na elimu nacho.Ndio maana nimeweka hapo kuwa ni maoni yangu binafsi na sio msimamo wa uislam, mimi sio mfuata kila linalosemwa kwa sababu natambua uislam asili yake sio huku kwetu na pia ni karne nyingi zimepita lazima mabadiliko yawepo.
Maelekezo ni kuwa mtu akifa inatakiwa azikwe haraka wakati huo, now lazima nifanye reasoning kwa nini ilisemwa hivi, nagundua ala kumbe wakati huo hakukua na teknolojia kubwa katika uhifadhi wa maiti, mawasiliano, uchukuzi n.k. Lakini uzuri zaidi imesisitizwa tu kuwa mazishi yafanyike haraka, hakuna palipotajwa kuwa yafanyike haraka kwa kiasi gani kwa hiyo kwako wewe masaa mawili unaweza kutafsiri kwamba ni haraka, yule akatafsiri haraka ni masaa sita na mimi nikasema haraka ni siku tatu, hakuna tatizo hapo.
Mimi sio kama wewe unafuata lolote bila kufanya reasoning, chochote kikitamkwa ni lazima kina sababu nyuma yake.
Kwahiyo hadi leo hiyo teknolojia haipo ya kuhifadhi mwili? Vp wanaitumia? Sheria za uislam kwenye Mazishi ziko vile vile wewe usitumie utashi wako.Ndio maana nimeweka hapo kuwa ni maoni yangu binafsi na sio msimamo wa uislam, mimi sio mfuata kila linalosemwa kwa sababu natambua uislam asili yake sio huku kwetu na pia ni karne nyingi zimepita lazima mabadiliko yawepo.
Maelekezo ni kuwa mtu akifa inatakiwa azikwe haraka wakati huo, now lazima nifanye reasoning kwa nini ilisemwa hivi, nagundua ala kumbe wakati huo hakukua na teknolojia kubwa katika uhifadhi wa maiti, mawasiliano, uchukuzi n.k. Lakini uzuri zaidi imesisitizwa tu kuwa mazishi yafanyike haraka, hakuna palipotajwa kuwa yafanyike haraka kwa kiasi gani kwa hiyo kwako wewe masaa mawili unaweza kutafsiri kwamba ni haraka, yule akatafsiri haraka ni masaa sita na mimi nikasema haraka ni siku tatu, hakuna tatizo hapo.
Mimi sio kama wewe unafuata lolote bila kufanya reasoning, chochote kikitamkwa ni lazima kina sababu nyuma yake.
Bora sisi Tz, Mgabe walizurura naye mara huku mara kule wakarudi wakapumzika, wakaanza tena mpaka wanamzika wengine tulishasahauMtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Hulazimishwi kufata utaratibu wa kiislam unayo hiyari ya kujitoa katika taratibu za kiislam na ukafata busara zako ukaweka hata mwezi mzima maitiAncha munkari Sheikh..!!!...ss sote ni Waislam na kwa kiwango fulani tumesoma dini..., ni kweli hayo uliosema ni sawia kabisa .. dini ya Kiislam inaendeshwa na Hadithi pamoja na Qur'an..!!!..hajasema kuwa Uislam uendeshwe kwa mawazo yake...,
Point kubwa hapo alioisema ambayo hata mm nime inote ni kuwa kuna Dini ya Islam na kuna tamaduni za Kiarabu...., kumbuka kabla ya Mtume hata kuzaliwa kulikuwa na Waarabu na walikuwa na Mila na Tamaduni zao....,wakapata bahati ya kushushwa Mtume ktk ardhi yao..., sote tunajua hata Mtume alipofariki hakuzikwa siku hiyo hiyo na alikuepo Khalifa wa kwanza Aboubakar..., na mtoto wake Aisha(mke wa Mtume)....hayo maneno ya kuzikwa siku hiyo hiyo waliyasikia live kutoka kwa Mtume mwenyewe lakini hawakumzika siku hiyo hiyo...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app