Twende kwa fact, kwann usibadili utaratibu wa Swala kama unapenda kwenda na teknolojia? Yaan kwann usianzishe basi swala 8 au swala 3 ili kuendana na teknolojia?Hata hizo hukumu zinatekelezwa basi kaka, waislam wangapi leo hii wanaenda kwa Mwamposa wanaconvert lakini hawa waarabu pori wapo kimya, wajaribu waone serikali itakachowafanya.
Wewe sio Muislam, hakuna muislam mwehu, anayeweza kujipangia vitu kijinga na reasoning capacity ndogo kama yako.Tatizo la nyie mliokaririshwa dini huwa hampendi chalenge, huo ujinga utawaisha lini?
Hizi nyuzi nyingine zinaonesha mwandishi ana msongo wa mawazo. Wewe ukifiwa ukaamua kuzika saa hiyo hiyo au dk hiyo hiyo si dhambi na hukatazwi kabisa. Mnapata shida bure waislamu kutaka mfanano na wakristo. Ni ukosefu tu wa afya ya akili. Maana vitu vingine unaonekana tu una msongo wa mawazo. Fanya utakavyo wewe. Wala hulazimishwi sheikh. Tena ukienda kwa wahindi wao ni bora zaidi wanachoma moto maiti. Unaweza amua hili ili upate mavumbiMzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Sasa wewe nani kakukataza kufanya hivyo? Au wapi umelazimishwa ukae na maiti siku moja au mbili? Ni ujinga tu wakati mwingine unawasumbuaWachaga ndo wanakaa na maiti sana.
Hata Bwana Yesu alikufa leo na kuzikwa siku hiyo hiyo
Sheria na mafundisho ya uislamu ni timeless ndio kitu unatakiwa ukifahamu.Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Post ya kiboya sanaMzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Mkuu, subiri wakifa kwako au kwenu uzike siku hiyohiyo uone kama kuna mtu atakushitaki ufungwe!Ni ukengeufu hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyofanya
Mbona kwenye talaka na kuvunja hizo ndoa hamsemi?Sehemu na wakati ambapo nawakubali sana Waislamu ni kwenye misiba na ndoa, wana unyama mno
Hauzuiliwi kubadili dini.Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
View attachment 2585799
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long
Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni
Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....
Wakristo tuendelee kuchukua notisi
HAKIKAHauzuiliwi kubadili dini.
Lakini hawakuja kukuomba hata kumi kama mchango na ukihudhuria msibani unakula na kunywa chaiWachaga ndo wanakaa na maiti sana.
Hata Bwana Yesu alikufa leo na kuzikwa siku hiyo hiyo
Yaani Mtu ameshakata roho (Amekufa) halafu anaendelea kupata maumivu kisa hajazikwa???Mkuu kwa mujibu wa uislam mtu anapokata roho huwa anapata maumivu makali sana, na Yale maumivu hayakomi mpaka azikwe
Nadhani hii ni sababu kuu mtume wetu akatuasa swala hili liwe miongoni mwa Mambo ya haraka zaidi
Wale mabikira 72Wanawahi nn sasa???
Ww ni mjingaaWanawahi nn sasa???
Upumbavu zaidi ni kuamini kuwa Mzoga unaendelea kupata maumivu kisa haujazikwa [emoji23][emoji23][emoji23]Kukaa na mzoga ndani usio kuwa na faida yeyote siku tano ni moja wapo ya dalili ya upumbavu.